chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 7,581
- 15,722
Nani mara ya mwisho ana kumbukumbu hata shamba la babu yake mzaa babu yake.
Mtajibu kwa wakati wenu!
Sisi ngozi nyeusi ni wabinafsi ndio maana kwenye ukoo ataonekana ni mtu mmoja kuwa na uwezo tu.
Waarabu na wahindi ni watu wenyekuona mbali ijalishi watakapopita ila zumuni lao kuendeleza kufika mbali.
Ukiona historia kama za kina Mo na GSM inaonesha walianza maisha huko zamani kama watu wa kawaida na kubebana bila kuwa na tamaa.
Kwa tanzania yetu familia au koo azina ushirikiano kwenye kuendeleza mali au kitu ndio maana ukifa wanakalia kuuza mfano tosha kariakoo.
Wenzetu wanajua kutunza mali zao mpaka kitukuu itaikuta na wanabebana sana mfano MASUMINI watoto wamekulia kwenye biashara na vizazi vyao.
Waarabu na wahindi wanabebana kama kuwasomesha kwa malengo ya baadae ajekufanyia kazi hiyo.
Waarabu na wahindi wanaweza kumsaidia ndugu yao ijalishi kafanya mabaya mangapi ili mradi kubadilika kufanya mazuri kama wao.
Waarabu na wahindi inawezekana wanafungu lao la ukoo kwenye pesa na baishara zao kuwa pamoja ndio maana unaona ndugu wanafanya kwa pamoja kama mali yao.
Swala la kubaniana kwao mwiko kabisa ndio maana unaona mmoja akiwa ulaya au kwengine utaona wanavobebana na kusaidia kama kukuza matawi ya biashara.
mfano ni huu ndugu anapesa ila hataki kusaifiri kufata mizigo mfano nje. basi ndugu mmoja atawekwa huko kwa ajili ya kushugulikia mizigo ili kupunguza galama za kusafiria kila mara.
Wenzetu wameweka ushirikiano sana kushika zile sekta na viongozi ili kulindwa.
Tuje kwa waarabu ni watu wanaona mbali kuwa na ardhi mapema na ndio maana asilimia kubwa wameshikilia waarabu katikati ya miji na sehemu nzuri tu.
Tujifunze maana tumepoteza Koo nyingi kwa ulafi wa mali