AU wameshatoa lakini nilikuwa namuangalia Liyn Ngugi anaongelea hiyo ripoti ni madudu na upupu mtupu.AU na UN watoe tamko pia
Wangezuia asiapishwe huo ujinga wao wapeleke kwaoHiyo haisaidii kitu mtu kashaapishwa
Kwani wapinzani walioenda kushiriki uchaguzi hivyo vyama vyao ulishawahi kuvisikia wapi tofauti na TLP, ACT na CHAUMAHivi mmeshajiuliza wapinzani WOTE wangesusia kama chadema mama angekuwa rais Kwa njia ipi?ishini NAO vizuri Hawa.si ungeumbuka.lakini wale mnaowadharau Leo ndo wamekuja kwenye kuapishwa kwako .na ndio waliokupitisha
Kwani kutazuia nini Mungu anapoamua jambo lake? Msijifariji kwa huo uapisho wa gizani ktk roho. Maana kiroho Sa100 alishakufa kitambo kutokana na damu za watu wa Mungu zilizomwagika. Na damu hizo zinamlilia!Hiyo haisaidii kitu mtu kashaapishwa