econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,818
- 21,816
Mimi huwa nafunga Mwanzo wa mwaka Yani januari mpaka mwezi wa pili ndio nafungua. Sifungi kwa Mkumbo Kama wewe mkuu.Economist niaje man? Unafunga kwaresma au Ramadhan?

Umesoma taarifa ama heading tu. Hao waandishi ndio wameangukia pua.Pole yake mwenyekiti wetu
Hongera sana ndugu. Ni mfano wa kuigwa na economists wengine.Mimi huwa nafunga Mwanzo wa mwaka Yani januari mpaka mwezi wa pili ndio nafungua. Sifungi kwa Mkumbo Kama wewe mkuu.
Asante mkuu. Na wewe uwe unafunga mara mojamoja.Hongera sana ndugu. Ni mfano wa kuigwa na economists wengine.
Nitajitahidi mkuu.Asante mkuu. Na wewe uwe unafunga mara mojamoja.
Hizo bilion 10 za lowassa na 4 za ruzuku bado tu mnadhulumu waandishi na pamoja kuandika habari za kichochezi bado tu walilala njaa sasa hapa tutaamini vipi kama ben saanane kapotea kwa mfano huu wa kuua familia za watu halafu bado wanadaiwa gharama za kesi aah mbowe kwa pesa ni kiboko join the chain zote pwani!Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, amebwagwa kortini na waandishi wa habari 10, wanaomdai mtoto wake katika kesi aliyofungua kutaka wamlipe gharama kwa kukamata nyumba yake.
Uamuzi huo umetolewa leo Machi 13,2024 na Mahakama Kuu ya Tanzania Division ya Kazi mbele ya Naibu Msajili Mary Mrio kufuatia maombi ya Mbowe, yaliyowasilishwa kwa hati ya dharura chini ya kiapo cha Mbowe ambapo aliwakilishwa na Wakili John Mallya.
Uamuzi huo wa Mahakama umetolewa baada ya kupitiwa hoja zote za mleta maombi.
Hoja hizo za Mbowe ziliwasilishwa na Mbowe kupitia Wakili wake John Mallya, ambapo Mrio amesema mahakama iliona hakuna ubishi katika maombi ya kuiachia nyumba na kwamba kinachobishaniwa ni mleta maombi (Mbowe), kulipwa gharama za kesi na wajibu maombi, ambao ni waandishi wa habari 10 na dalali wa mahakama.
Mrio amesema: "Mahakama iliangalia katika kesi hii kama gharama zilipwe au zisilipwe. Nimepitia Gazeti la Serikali (GN) namba 106 la mwaka 2007, lilielekeza kwamba kesi za aina hii hakuna sehemu inayoelekeza kulipa gharama."
Kuhusu shauri hilo, Mrio amesema: "Mahakama inaona hakuna haja ya kutoa gharama, kila upande ubebe gharama zake na inatamka kwamba nyumba iliyokamatwa awali na dalali wa mahakama hiyo iko huru. Nyumba hiyo inamilikiwa na Mbowe na si mkurugenzi wa Tanzania Daima news paper, Dudley Mbowe"
Jama waandishi wa habari 10 wanaomdai Dudley ambaye ni Mkurugenzi wa Tanzania Daima, Sh milioni 62.7, waliachia nyumba ya Freeman Mbowe waliyoikamata ili kuipiga mnada kufidia deni lao.
Hata hivyo walitoa hoja mahakamani kugomea kulipa gharama za kesi zilizoombwa na Mbowe wakieleza sababu kuwa hata wao wameingia gharama katika kudai haki yao.
Mbowe kupitia Wakili wake John Mallya aliwasilisha maombi chini ya kiapo kilichoapwa na Freeman Mbowe Februari 26 mwaka huu, akitaka wajibu maombi kuondoa nyumba hiyo kwa sababu si mali ya Dudley na Mahakama iwaamuru wajibu maombi hao kumlipa gharama za kesi mteja wake.
Akizungumza kwa niaba ya wajibu maombi wenzake, Kulwa Mzee aliiambia mahakama kwamba walipitia nyaraka zote na viambatanisho husika, wamejiridhisha na kukubaliana kwa pamoja kwamba nyumba waliyoikamata ni ya familia, lakini inamilikiwa na Freeman Mbowe.
"...Tumepitia nyaraka pamoja na viambatanisho ikiwemo hati ya nyumba. Tumejiridhisha kwamba mkurugenzi tunayemdai, Dudley Mbowe si mmiliki. Hivyo, tunaiomba Mahakama tuiondoe nyumba hiyo kwenye maombi yetu," alisema Kulwa na kuongeza:
"Mheshimiwa, kuhusu gharama, kwa uelewa wetu, katika mashauri ya migogoro ya kikazi, hakuna gharama. Hiyo inatokana na uwezo na kipato kidogo cha wafanyakazi;
"Wakati sisi tunafanya jambo hili, tulikuwa tukiamini kabisa kuwa ni nyumba ya mkurugenzi wetu kwa sababu katika hatua ya makubaliano, alikuwa anatuambia kuwa tutafanya vikao nyumbani kwake na tumefanya hapo vikao kwenye hiyo nyumba," amesema Kulwa.
Ameongeza: "Mheshimiwa katika hatua za mwisho, baba yake ambaye ndiye mwombaji katika shauri hili alitualika tukutane hapo hapo tulipokuwa tukikutana. Tulikutana hapo, akakubali kubeba dhamana ya mtoto wake akakubali kutulipa mwezi Desemba."
Kulwa alidai kutokana na mazingira hayo waliamini kuwa hapo ndipo nyumbani kwake mkurugenzi na baada ya kushindwa kuwalipa katika kutekeleza namna ya kupata haki yao ndio maana waliamua kukamata hiyo nyumba.
"...Mheshimiwa tunaomba tusilipe gharama, kwanza huyu mwombaji hakuingia gharama kwani katika hatua zote za majadiliano tulikuwa tunakwenda kwake kwa gharama zetu wenyewe na ahadi zake za kutulipa Desemba 2023 ambazo alishindwa kutekeleza hilo lilituathiri, maana tulikuwa katika maandalizi ya siku kuu na ada za watoto shuleni,"amedai Kulwa.
Aliomba Mahakama katika uamuzi kuhusu gharama ikiwezekana kila upande ubebe gharama zake.
Kwa upande wake, dalali wa Mahakama Jesca Massawe ambaye ni mjibu maombi wa 11, alidai alipokea amri ya Mahakama kwa ajili ya kukamata hiyo nyumba.
"Sisi madalali wa Mahakama katika kutekeleza majukumu yetu, tulikaa na Mahakama hii chini ya Jaji Mfawidhi akatuelekeza kuwa katika mashauri haya ya kukamata mali tusijihusishe na utambuzi wa mali bali tukamate na kama kuna changamoto basi italetwa mahakamani, " amesema.
Ameongeza kwamba alitekeleza amri ya Mahakama kama ilivyoelekezwa.
Wakili Mallya alijibu hoja hiyo akieleza kwamba anakubaliana na mjibu maombi Kulwa kwa aliyoyasema ya kuachia nyumba hiyo.
Hata hivyo akasema: "Kuhusu suala la gharama, mteja mwombaji anastahili kulipwa gharama na mambo mengine aliyoyasema mjibu maombi alipaswa kuyaleta kwa njia ya kiapo."
Amedai kuhusu hoja za mjibu maombi wa 11 ambaye ni dalali, kweli ni afisa wa Mahakama, lakini maelezo yake hayakuja kwenye kiapo.
"Kwa kuwa anamtaja na Jaji Mfawidhi, haya yalipaswa kuja kwa njia ya kiapo na si maneno matupu mahakamani. Kwa hiyo naiomba Mahakama yako isiyazingatie na tunaomba mahakama izingatie suala la gharama,"alidai Mallya.
Baada ya kusikiliza hoja za pande zote, Naibu Msajili Mrio aliahirisha shauri hadi leo saa nane mchana kwa ajili ya uamuzi.
Katika shauri la msingi, mjibu maombi mwingine Maregesi Paul, aliomba kuyaondoa maombi ya kukamata nyumba hiyo na kuieleza Mahakama kwamba wanatarajia kuwasilisha maombi mengine upya ya kumkamata Dudley.
"Maombi haya yameondolewa kwa kibali cha kuyaleta tena, "alisema Msajili.
Mbowe alifungua shauri dhidi ya Maregesi Paul, Fidelis Felix, Christina Mwakangale, Janeth Josiah, Exuperius Kachenje, Hellen Sisya, Kulwa Mzee, Nora Damian, Makuburi Ally, Mkurugenzi wa Gazeti la Tanzania na Kampuni ya Udalali ya JJ Auctioneers& Debt Collectors.
Februari 13 mwaka huu, Mahakama ilikubali maombi ya wadai na kumteua dalali wa Mahakama kukamata nyumba kwa ajili ya kuipiga mnada.
Februari 28 mwaka huu, dalali wa Mahakama, Jesca Massawe alifanikiwa kubandika matangazo ya kukamata nyumba ya Mkurugenzi tayari kupigwa mnada kufidia deni la malimbikizo ya mishahara wafanyakazi.
Naibu Msajili wa Mahakama Kuu, Mary Mrio alitoa amri hiyo baada ya kupitia hoja za washinda tuzo katika Tume ya Usuluhishi na Uamuzi(CMA) Julai 2023.
Shauri hilo namba 28461 la mwaka 2023, wadai Maregesi Paul na wenzake tisa dhidi ya Mkurugenzi wa Gazeti la Tanzania Daima, Dudley Mbowe.
Baada ya mdaiwa kukaidi kulipa, wadai walikubaliana njia sahihi kukamata nyumba yake namba 9 iliyopo Mtaa wa Feza , Mikocheni B barabara ya Chipaka na Mahakama ilikubali.
Walalamikaji hao walipata tuzo Julai 17 mwaka 2023 mbele ya Msuluhidhi wa CMA Ilala, Bonasia Mollel.
Madai ya awali yalikuwa jumla ya Sh milioni 114 baada ya kukaa mezani kwenye majadiliano kwa pamoja kiwango hicho cha fedha kilishuka na kufikia Sh milioni 62.7.
Dudley alikubali kulipa fedha hizo kwa awamu tatu, Oktoba 30, Desemba 30 mwaka 2023 na awamu ya mwisho ilikuwa mwishoni Februari mwaka huu, lakini hakulipa.
Pia Soma:
Hao ni waandishi makanjanjaSasa mbona mi naona mbowe ameshinda kesi na nyumba imekuwa huru haipo mikononi mwa madalali.... Ila gharama za kesi Kila mmoja akaambiwa abebe. Someni habari vizuri
Alijengea hela ya mamako?Unadhani lile nyumba pale machame kajenga kwa hela gani? Ukifiatilia tax record zake ndio utajua kuwa huyu jamaa ni kibaka kweli kweli
Naona umesoma tu headingIngekuwa enzi ya Magufuli angejificha kwenye kichaka cha maagizo kutoka juu.
Akome na uzurumaji wake
Bora maana angekuwa ni utawala wa hayati wangeshaamsingizia kuwa ni amri kutoka juuMwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, amebwagwa kortini na waandishi wa habari 10, wanaomdai mtoto wake katika kesi aliyofungua kutaka wamlipe gharama kwa kukamata nyumba yake.
Uamuzi huo umetolewa leo Machi 13,2024 na Mahakama Kuu ya Tanzania Division ya Kazi mbele ya Naibu Msajili Mary Mrio kufuatia maombi ya Mbowe, yaliyowasilishwa kwa hati ya dharura chini ya kiapo cha Mbowe ambapo aliwakilishwa na Wakili John Mallya.
Uamuzi huo wa Mahakama umetolewa baada ya kupitiwa hoja zote za mleta maombi.
Hoja hizo za Mbowe ziliwasilishwa na Mbowe kupitia Wakili wake John Mallya, ambapo Mrio amesema mahakama iliona hakuna ubishi katika maombi ya kuiachia nyumba na kwamba kinachobishaniwa ni mleta maombi (Mbowe), kulipwa gharama za kesi na wajibu maombi, ambao ni waandishi wa habari 10 na dalali wa mahakama.
Mrio amesema: "Mahakama iliangalia katika kesi hii kama gharama zilipwe au zisilipwe. Nimepitia Gazeti la Serikali (GN) namba 106 la mwaka 2007, lilielekeza kwamba kesi za aina hii hakuna sehemu inayoelekeza kulipa gharama."
Kuhusu shauri hilo, Mrio amesema: "Mahakama inaona hakuna haja ya kutoa gharama, kila upande ubebe gharama zake na inatamka kwamba nyumba iliyokamatwa awali na dalali wa mahakama hiyo iko huru. Nyumba hiyo inamilikiwa na Mbowe na si mkurugenzi wa Tanzania Daima news paper, Dudley Mbowe"
Jama waandishi wa habari 10 wanaomdai Dudley ambaye ni Mkurugenzi wa Tanzania Daima, Sh milioni 62.7, waliachia nyumba ya Freeman Mbowe waliyoikamata ili kuipiga mnada kufidia deni lao.
Hata hivyo walitoa hoja mahakamani kugomea kulipa gharama za kesi zilizoombwa na Mbowe wakieleza sababu kuwa hata wao wameingia gharama katika kudai haki yao.
Mbowe kupitia Wakili wake John Mallya aliwasilisha maombi chini ya kiapo kilichoapwa na Freeman Mbowe Februari 26 mwaka huu, akitaka wajibu maombi kuondoa nyumba hiyo kwa sababu si mali ya Dudley na Mahakama iwaamuru wajibu maombi hao kumlipa gharama za kesi mteja wake.
Akizungumza kwa niaba ya wajibu maombi wenzake, Kulwa Mzee aliiambia mahakama kwamba walipitia nyaraka zote na viambatanisho husika, wamejiridhisha na kukubaliana kwa pamoja kwamba nyumba waliyoikamata ni ya familia, lakini inamilikiwa na Freeman Mbowe.
"...Tumepitia nyaraka pamoja na viambatanisho ikiwemo hati ya nyumba. Tumejiridhisha kwamba mkurugenzi tunayemdai, Dudley Mbowe si mmiliki. Hivyo, tunaiomba Mahakama tuiondoe nyumba hiyo kwenye maombi yetu," alisema Kulwa na kuongeza:
"Mheshimiwa, kuhusu gharama, kwa uelewa wetu, katika mashauri ya migogoro ya kikazi, hakuna gharama. Hiyo inatokana na uwezo na kipato kidogo cha wafanyakazi;
"Wakati sisi tunafanya jambo hili, tulikuwa tukiamini kabisa kuwa ni nyumba ya mkurugenzi wetu kwa sababu katika hatua ya makubaliano, alikuwa anatuambia kuwa tutafanya vikao nyumbani kwake na tumefanya hapo vikao kwenye hiyo nyumba," amesema Kulwa.
Ameongeza: "Mheshimiwa katika hatua za mwisho, baba yake ambaye ndiye mwombaji katika shauri hili alitualika tukutane hapo hapo tulipokuwa tukikutana. Tulikutana hapo, akakubali kubeba dhamana ya mtoto wake akakubali kutulipa mwezi Desemba."
Kulwa alidai kutokana na mazingira hayo waliamini kuwa hapo ndipo nyumbani kwake mkurugenzi na baada ya kushindwa kuwalipa katika kutekeleza namna ya kupata haki yao ndio maana waliamua kukamata hiyo nyumba.
"...Mheshimiwa tunaomba tusilipe gharama, kwanza huyu mwombaji hakuingia gharama kwani katika hatua zote za majadiliano tulikuwa tunakwenda kwake kwa gharama zetu wenyewe na ahadi zake za kutulipa Desemba 2023 ambazo alishindwa kutekeleza hilo lilituathiri, maana tulikuwa katika maandalizi ya siku kuu na ada za watoto shuleni,"amedai Kulwa.
Aliomba Mahakama katika uamuzi kuhusu gharama ikiwezekana kila upande ubebe gharama zake.
Kwa upande wake, dalali wa Mahakama Jesca Massawe ambaye ni mjibu maombi wa 11, alidai alipokea amri ya Mahakama kwa ajili ya kukamata hiyo nyumba.
"Sisi madalali wa Mahakama katika kutekeleza majukumu yetu, tulikaa na Mahakama hii chini ya Jaji Mfawidhi akatuelekeza kuwa katika mashauri haya ya kukamata mali tusijihusishe na utambuzi wa mali bali tukamate na kama kuna changamoto basi italetwa mahakamani, " amesema.
Ameongeza kwamba alitekeleza amri ya Mahakama kama ilivyoelekezwa.
Wakili Mallya alijibu hoja hiyo akieleza kwamba anakubaliana na mjibu maombi Kulwa kwa aliyoyasema ya kuachia nyumba hiyo.
Hata hivyo akasema: "Kuhusu suala la gharama, mteja mwombaji anastahili kulipwa gharama na mambo mengine aliyoyasema mjibu maombi alipaswa kuyaleta kwa njia ya kiapo."
Amedai kuhusu hoja za mjibu maombi wa 11 ambaye ni dalali, kweli ni afisa wa Mahakama, lakini maelezo yake hayakuja kwenye kiapo.
"Kwa kuwa anamtaja na Jaji Mfawidhi, haya yalipaswa kuja kwa njia ya kiapo na si maneno matupu mahakamani. Kwa hiyo naiomba Mahakama yako isiyazingatie na tunaomba mahakama izingatie suala la gharama,"alidai Mallya.
Baada ya kusikiliza hoja za pande zote, Naibu Msajili Mrio aliahirisha shauri hadi leo saa nane mchana kwa ajili ya uamuzi.
Katika shauri la msingi, mjibu maombi mwingine Maregesi Paul, aliomba kuyaondoa maombi ya kukamata nyumba hiyo na kuieleza Mahakama kwamba wanatarajia kuwasilisha maombi mengine upya ya kumkamata Dudley.
"Maombi haya yameondolewa kwa kibali cha kuyaleta tena, "alisema Msajili.
Mbowe alifungua shauri dhidi ya Maregesi Paul, Fidelis Felix, Christina Mwakangale, Janeth Josiah, Exuperius Kachenje, Hellen Sisya, Kulwa Mzee, Nora Damian, Makuburi Ally, Mkurugenzi wa Gazeti la Tanzania na Kampuni ya Udalali ya JJ Auctioneers& Debt Collectors.
Februari 13 mwaka huu, Mahakama ilikubali maombi ya wadai na kumteua dalali wa Mahakama kukamata nyumba kwa ajili ya kuipiga mnada.
Februari 28 mwaka huu, dalali wa Mahakama, Jesca Massawe alifanikiwa kubandika matangazo ya kukamata nyumba ya Mkurugenzi tayari kupigwa mnada kufidia deni la malimbikizo ya mishahara wafanyakazi.
Naibu Msajili wa Mahakama Kuu, Mary Mrio alitoa amri hiyo baada ya kupitia hoja za washinda tuzo katika Tume ya Usuluhishi na Uamuzi(CMA) Julai 2023.
Shauri hilo namba 28461 la mwaka 2023, wadai Maregesi Paul na wenzake tisa dhidi ya Mkurugenzi wa Gazeti la Tanzania Daima, Dudley Mbowe.
Baada ya mdaiwa kukaidi kulipa, wadai walikubaliana njia sahihi kukamata nyumba yake namba 9 iliyopo Mtaa wa Feza , Mikocheni B barabara ya Chipaka na Mahakama ilikubali.
Walalamikaji hao walipata tuzo Julai 17 mwaka 2023 mbele ya Msuluhidhi wa CMA Ilala, Bonasia Mollel.
Madai ya awali yalikuwa jumla ya Sh milioni 114 baada ya kukaa mezani kwenye majadiliano kwa pamoja kiwango hicho cha fedha kilishuka na kufikia Sh milioni 62.7.
Dudley alikubali kulipa fedha hizo kwa awamu tatu, Oktoba 30, Desemba 30 mwaka 2023 na awamu ya mwisho ilikuwa mwishoni Februari mwaka huu, lakini hakulipa.
Pia Soma:
Bilioni kumi unaijua?. Au urapoka tu.Hizo bilion 10 za lowassa na 4 za ruzuku bado tu mnadhulumu waandishi na pamoja kuandika habari za kichochezi bado tu walilala njaa sasa hapa tutaamini vipi kama ben saanane kapotea kwa mfano huu wa kuua familia za watu halafu bado wanadaiwa gharama za kesi aah mbowe kwa pesa ni kiboko join the chain zote pwani!
Ijue wewe ila walipwe hao watu!Bilioni kumi unaijua?. Au urapoka tu.
Wewe ndiyo nyumbu mgumu kuelewa, kesi aliyohukumiwa mwana alipe baba kwa kumatiwa na kupiga mnada nyumba yake!! Wakati mwanawe ni mtu mzima!Nyumbu wanamuita tajiri kumbe hana hata mil62 ya kulipa waandishi!!
Ata angesoma habari yote hana hizo akili zakuelewa kilichoandikwa.yeye ilimradi kaona mbowe tayari kakurupuka.mabumunda ni mengi sana kwasasa.Naona umesoma tu heading
Magufuli kiboko aliwadhulumu WENYE VYETI FAKE lakini MAMA SAMIA AKAWALIPAMbowe ni dhulumati... watanzania tuwe makini na viongozi wapenda dhuluma kama Mbowe.
Machawa hao MBOWE ndie MSHINDISasa mbona mi naona mbowe ameshinda kesi na nyumba imekuwa huru haipo mikononi mwa madalali.... Ila gharama za kesi Kila mmoja akaambiwa abebe. Someni habari vizuri