samilakadunda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 1,780
- 360
PJ, Nina uhakika humaanishi kuwa unamwombea hayo yampate ila unamtumia salam Marin kuwa usaliti unamalipo yake hivi ajifunze.Hawa watajuta kumtumikia kafiri!
Kuna litangazaji linaitwa Marin Marin hakyanani nataman ndo lingepata huo mshikemshike wa mtwara, seenz!
Hawa watajuta kumtumikia kafiri!
Kuna litangazaji linaitwa Marin Marin hakyanani nataman ndo lingepata huo mshikemshike wa mtwara, seenz!
Usilisahau li gabriel zakaria, yani ni kama lichok flan.
mkuu,leo star times yng ilgoma kuonysha itv,kuweka tbccm c ndio nikakutana na huyo gabriel zakaria,yan alvyokuwa anaisoma taarfa ya habar kuhusu mtwara, uso wake ulkuwa unaonyesha kuwaponda wana mtwara kwa wanachokifnya,halifai kabisa!
Na hawa wa clauds Fm, kama kibonde nk
kuna watu nasikia walikua ni viongoz wa mtwara
serikali iliwapeleka nje ya nchi kuwaelimisha manufaa ya gesi ya mtwara......????
Nafikiri hakuna haja ya kujenga chuki wa kutukana kumbuka kila mtu anawajibu wa kutoa maoni yake.