Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 8,594
- 12,367
Siku hizi masharobaro ndio wanaongoza kunuka midomo hawakumbuki miswaki kabisa
Ha ha ha haa. Ngoja nije inbox.Aisee umenikumbusha jamaa mmoja tulikutana ofisi za tanesco duuh alikuwa anatema domo kama panya kaozea kwenye debe