Waambie wawe wanapiga mswaki na kuziosha

Waambie wawe wanapiga mswaki na kuziosha

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,083
1475772851090.jpg
 
Aisee umenikumbusha jamaa mmoja tulikutana ofisi za tanesco duuh alikuwa anatema domo kama panya kaozea kwenye debe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenikumbusha mbali sana.
 
Sasa ukute mswaki "off"
Kuosha rasta nako "off"
Usafi wa nguo "off"
Hapo mzungu lazima akautangaze utalii wetu....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Miaka michache iliyopita iliingia fashion ya kusuka dred rasta mitaani,baada ya kupita watu wengi wakanyoa...kama ingeendelea mama yangu weeeh!sijui ingekuaje?
 
Miaka michache iliyopita iliingia fashion ya kusuka dred rasta mitaani,baada ya kupita watu wengi wakanyoa...kama ingeendelea mama yangu weeeh!sijui ingekuaje?
[emoji102] [emoji15] [emoji102] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom