Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
Zamani Waafrika walikuwa wanashikwa na kuwekwa kwenye meli za utumwa kupelekwa ughaibuni.
Leo wanajitia wenyewe vyomboni kwa kubanana kama dagaa.
Kunta Kinte must be shaking in his grave.
Zamani Waafrika walikuwa wanashikwa na kuwekwa kwenye meli za utumwa kupelekwa ughaibuni.
Leo wanajitia wenyewe vyomboni kwa kubanana kama dagaa.
Kunta Kinte must be shaking in his grave.
Hii picha ni kweli?

farkhina hii picha ni ya kweli kabisa, tena nauli wanayolipa kwenye hizi boti ni pesa nyingi sana. Haya ni matukio ya kila siku, kwenye hizi boti wanajazana wengine wanawake waja wazito na wengine wana watoto wadogo. Lakini safari hizi ni za kufana kupona tu kwani wengi washapoteza maisha.
wengi sana wamepoteza maisha wengi mnoooo,ila watu wameamua kufanya yao na wanaendelea kuzamia,kila kichwa hapo hutozwa si chini ya dola 2000,wanapitia sana Sicily na Lampedusa kwa Italy
zaman wazungu walikua wanakuja wenyewe kusaka mali na babu zetu(Akina Mkwawa) wakapambana nao na waliwaita wakoloni,lakin kwa sasa Wazungu wanafatwa waje wachote mali na wanaowafata ni viongoz ambao tunaamini wamesoma na hawaitwi tena wakoloni wala wanyonyaji now wanaitwa WAWEKEZAJI,MARAFIKI WA MAENDELEO AU WAHISANI
Pursuit of happinessAnd That Is Known CAPITALISM.
Umenichekesha sana mdau,ila ulichoandika kina chembe za ukweli hapo kwenye BLUE,na wazungu wanajua kuwa umaskin ndo unawakimbiza vijana kwenda huko,EU ilianzisha mpango wa pamoja na Gaddafi wa kuwasaidia vijana wa kiafrika wakiwa home ili wasiende ughaibuni (ULAYA)Ndio hivyo mambo ya kuchezea maisha, kuna mmoja alikuwa anapiga story kwamba walifika sehemu boti iliishiwa mafuta, kitu walichofanya ni kupiga simu namba ya kiitaliano wasiyoijua. Zari akapokea mwanamke wa kitaliano anaongea kiingereza kidogo, ndio wakambwambia wasipopata msaada watakufa. Anasema walipata msaada baada ya masaa kadhaa, ndio wakagundua wako kilomita nyingi kutoka nchi kavu.
Lakini watu wanatoka kwa mtindo huo huo. Mi nipo udachini hapa, kuna vijana wengi mpaka mademu kutoka Afrika ambao walikuja kwa mtindo huo huo. Sasa hivi wana ma-paper, wanapiga box wanasaidia ndugu zao home. Maisha yenyewe ya kiafrika wanafaidi kina Kikwete na rafiki zao na familia zao.