Waafrika wanavyoingia kwa boti Italy.

Waafrika wanavyoingia kwa boti Italy.

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,545
Reaction score
15,781

10432124_10153009834782454_435941965851619668_n.jpg
 
Zamani Waafrika walikuwa wanashikwa na kuwekwa kwenye meli za utumwa kupelekwa ughaibuni.

Leo wanajitia wenyewe vyomboni kwa kubanana kama dagaa.

Kunta Kinte must be shaking in his grave.
 
Yaani hapa hata nafasi ya kunyoosha mguu haipatikani mbanano mtu lol
 
Zamani Waafrika walikuwa wanashikwa na kuwekwa kwenye meli za utumwa kupelekwa ughaibuni.

Leo wanajitia wenyewe vyomboni kwa kubanana kama dagaa.

Kunta Kinte must be shaking in his grave.

Mambo yamechenji sana watu wanahonga ili wafike majuu hawataki hata kurudi kwao na wanapadharau eti kuna vumbi. Sisi waafrika watu wa ajabu sana
 
Hata viongozi wetu wanatamani kutibiwa ulaya na wakifia huko ndo inakuwa heshima kubwa!
wamesahau kuimarisha huduma za afya nchini kwao.
cc😛rofesa wa kichina
 
Nani kawadanganya ulaya kuna maisha mazuri? hii safari ya kifo wamejazana kwenye boti kama maharage kwenye gunia Its too risky
 
Hii picha ni kweli?

farkhina hii picha ni ya kweli kabisa, tena nauli wanayolipa kwenye hizi boti ni pesa nyingi sana. Haya ni matukio ya kila siku, kwenye hizi boti wanajazana wengine wanawake waja wazito na wengine wana watoto wadogo. Lakini safari hizi ni za kufana kupona tu kwani wengi washapoteza maisha.
 
Zamani Waafrika walikuwa wanashikwa na kuwekwa kwenye meli za utumwa kupelekwa ughaibuni.

Leo wanajitia wenyewe vyomboni kwa kubanana kama dagaa.

Kunta Kinte must be shaking in his grave.

zaman wazungu walikua wanakuja wenyewe kusaka mali na babu zetu(Akina Mkwawa) wakapambana nao na waliwaita wakoloni,lakin kwa sasa Wazungu wanafatwa waje wachote mali na wanaowafata ni viongoz ambao tunaamini wamesoma na hawaitwi tena wakoloni wala wanyonyaji now wanaitwa WAWEKEZAJI,MARAFIKI WA MAENDELEO AU WAHISANI
 
farkhina hii picha ni ya kweli kabisa, tena nauli wanayolipa kwenye hizi boti ni pesa nyingi sana. Haya ni matukio ya kila siku, kwenye hizi boti wanajazana wengine wanawake waja wazito na wengine wana watoto wadogo. Lakini safari hizi ni za kufana kupona tu kwani wengi washapoteza maisha.

wengi sana wamepoteza maisha wengi mnoooo,ila watu wameamua kufanya yao na wanaendelea kuzamia,kila kichwa hapo hutozwa si chini ya dola 2000,wanapitia sana Sicily na Lampedusa kwa Italy
 
Ndio hivyo mambo ya kuchezea maisha, kuna mmoja alikuwa anapiga story kwamba walifika sehemu boti iliishiwa mafuta, kitu walichofanya ni kupiga simu namba ya kiitaliano wasiyoijua. Zari akapokea mwanamke wa kitaliano anaongea kiingereza kidogo, ndio wakambwambia wasipopata msaada watakufa. Anasema walipata msaada baada ya masaa kadhaa, ndio wakagundua wako kilomita nyingi kutoka nchi kavu.

Lakini watu wanatoka kwa mtindo huo huo. Mi nipo udachini hapa, kuna vijana wengi mpaka mademu kutoka Afrika ambao walikuja kwa mtindo huo huo. Sasa hivi wana ma-paper, wanapiga box wanasaidia ndugu zao home. Maisha yenyewe ya kiafrika wanafaidi kina Kikwete na rafiki zao na familia zao.
 
Ukisikia ukoloni mambo leo ndo huu yaani tunajipeleka wenywe na huku tunalalamika ya wadhungu wana tubagua na kututesa si bora tukabaki nyumbani kwetu na kupampana na madekiteta wetu ambao tulowachagua
 
zaman wazungu walikua wanakuja wenyewe kusaka mali na babu zetu(Akina Mkwawa) wakapambana nao na waliwaita wakoloni,lakin kwa sasa Wazungu wanafatwa waje wachote mali na wanaowafata ni viongoz ambao tunaamini wamesoma na hawaitwi tena wakoloni wala wanyonyaji now wanaitwa WAWEKEZAJI,MARAFIKI WA MAENDELEO AU WAHISANI

And That Is Known CAPITALISM.
 
Hapo asilimia kubwa ndugu zetu kutoka Ethiopia, Eritrea na wachache sana kutoka Afrika magharibi
 
Ndo maana huwa wanakufa. Maana hiyo ni over kujaaa
 
Ndio hivyo mambo ya kuchezea maisha, kuna mmoja alikuwa anapiga story kwamba walifika sehemu boti iliishiwa mafuta, kitu walichofanya ni kupiga simu namba ya kiitaliano wasiyoijua. Zari akapokea mwanamke wa kitaliano anaongea kiingereza kidogo, ndio wakambwambia wasipopata msaada watakufa. Anasema walipata msaada baada ya masaa kadhaa, ndio wakagundua wako kilomita nyingi kutoka nchi kavu.

Lakini watu wanatoka kwa mtindo huo huo. Mi nipo udachini hapa, kuna vijana wengi mpaka mademu kutoka Afrika ambao walikuja kwa mtindo huo huo. Sasa hivi wana ma-paper, wanapiga box wanasaidia ndugu zao home. Maisha yenyewe ya kiafrika wanafaidi kina Kikwete na rafiki zao na familia zao.
Umenichekesha sana mdau,ila ulichoandika kina chembe za ukweli hapo kwenye BLUE,na wazungu wanajua kuwa umaskin ndo unawakimbiza vijana kwenda huko,EU ilianzisha mpango wa pamoja na Gaddafi wa kuwasaidia vijana wa kiafrika wakiwa home ili wasiende ughaibuni (ULAYA)
 
Back
Top Bottom