Waafrika ndivyo tulivyo?


No, just call me messenger of truth.


Yes to all the above except the Germans and Hitler. But then again they only voted for him once. You know the saying, fool me once shame on you, fool me twice shame on...you know the rest. Africans have been fooled over and over don't you think? Are we still going to say shame on the leaders? No, shame on Africans.


What other reasons can you think of? Tell me I am all ears or eyes in this case.
 
Steve my man...you have your work cut out for you debating Raj....good luck
 
What other reasons can you think of? Tell me I am all ears or eyes in this case.
....ooh yes, since you brought in an argument that you proved yourself nescient to, i'd tell you to get a life!
 
....ooh yes, since you brought in an argument that you proved yourself nescient to, i'd tell you to get a life!

This is non-responsive to my question. So I assume you are not interested in any meaningful discussion.
 
This is the article Dee Lee was reading on a New York radio station.

Dee Lee, CFP Harvard Financial Educators

 
Ni kweli kabisa, bila watu wetu kusoma na kuamka na kuacha kukumbatia viongozi greedy na selfish hatuwezi kuendelea.
mkapa kauza ardhi ya tanzania yote kwa barick na karamagi na yeye kaja kaongezea masha na yeye yuko mbioni kuuza pa kwake.
 
Oh, I had to join em topics. Zimekuwa nyingi lakini zote zikilenga kitu kimoja. Nimeziunganisha kuleta mtiririko mzuri wa mawazo. Naamini kuna mnaofanya upembuzi wa hoja (tangia mwanzo mwa hoja hii) na kupata mawazo zaidi na zaidi. Tulianza mada hii mwaka 2006.

Naamini kwa wale wageni hapa JF mnaweza kuona tumeanzia wapi!

BTW: Mkuu Deus wa Radio Butiama aliishia wapi? What went wrong?
 

Yaani Nyani umegonga Ikulu hapa. Ma-apologetics wooote tuna-suffer na hizi "confort za wachache. Hatuhitaji kuambiwa na akina CNN, NY times, BBC nk kuappreciate unanga na ujinga wetu. No way...tuache kubwekea ndani ya geti! Lets face it. Jiulize leo watu tuko excited na politics za west kwa sababu zinavyotia raha kuzifuatilia wakati "home" hapa kila news ni ufisadi..harafu wanakuja akina fulani...oohh western media is biased against Africans! what a crap! WE ARE WHAT WE ARE Sasa kwa mfano issue ya Mugabe Western media inadanganya wapi? haya issue ya Kenya, wanadanganya wapi?, issue ya ufisadi na umaskini Tanzania wanadanganya wapi? ukweli ni kwamba we are not prepared to see and hear ourr true colours....

JIULIZE ALIYEKO STATES NA EUROPE ANAVYOHANGAIKA KULIPA NA KUFAIL KODI...LAKINI HUYO HUYO AKIJA BONGO NA MZIGO ATAFANYA JUU CHINI ASITOE KODI MZIGO UPITE (ATATOA CHOCHOTE..) AND ON AND ON....

HUWEZI KUISHI KWENYE MTAA ULIOJAA TAKA NA MADIMBWI YA MBU, HARAFU UKASEMA ETI WEWE HAYAKUHUSU KWA VILE UNA FENCE NA NDANI KWAKO NI KUSAFI!! UTAKUWA NA AKILI KWELI?
 
This is non-responsive to my question. So I assume you are not interested in any meaningful discussion.
...Sorry, I did not mean to ignore your post but i was rather busy. But again, by inference i think it is a desirable response, bearing in mind that a discussion can only be meaningful if parts in the discussion are objective enough. However, this isn't the case; throughout this debate your argumentative basis has been subjective and an utterly conjecture.

SteveD.
 
Jamani Nilisikiliza Bbc Nikashangaa Kusikia Kuwa Wazawa Waafika Kusini Weusi Kuwachukia Waafrika Wenzao Hasa Weusi Yaani Wao Mtu Mweusi Asie Muafrika Kusini Ni Nyoka.

Cha Kushangaza Wazungu Au Wahindi Na Ngozi Zote Nyeupe Hawawchukii Kama Wanavyowachukia Weusi Wenzao.

Haya Yanasababishwa Na Nn?

Hivi Wenzetu Wamesahau Kuwa Waafrika Wenzao Walijitolea Ili Wawe Huru ?

Hivi Waafrika Tuna Dhambi Gani Kwa Kuwa Kila Pahala Sisi Wenyewe Kwa Wenyewe Tunachuki Zaidi Kuliko Wengine?


Nnaomba Kuwasilisha
 
tofauti ya rangi ya ngozi huweza kusababisha chuki(ubaguzi wa rangi), lakini usawa wa ngozi hausababishi upendo.upendo hujengwa kwa matendo baina ya jinsi watu wanavyoingiliana kimaisha,kusaidiana, kutokudhuriana, kujaliana n.k.

ukijenga argument kwamba waafrika kusini wanawachukia waafrika wenzao, wakati juzi juzi walikuwa wanawachukia wazungu then utakuwa unamaanisha basi kwamba waafrika kusini watakuwa hawampendi mzungu na mwafrika mwenzao. sasa swali ni je waafrika kusini wanampenda nani? mchina, muhindi au mwarabu, au wanajipenda wao tu?.

mimi ninavyodhani, ni kwamba huenda baadhi ya Waafrika kusini wanawachukia immigrants kwa kudhani kwamba wanakomba kazi ambazo wangezifanya wao. ktika nchi kama marekani hili suala la immigrants nalo lipo, baadhi ya wamarekani wanawachukia ma immigrants kwa sababu wakiingia tu wanakomba kazi tena sometimes wanafanya hizo kazi kwa malipo kidogo.
tatizo hapa siyo rangi, tatizo ni kwamba "mtu huyu aliyekuja hapa (hata kama angekuwa mzungu) anachukua kile nilichokuwa nacho". hapo ndipo ugomvi unapoanzia
 
habari inasema immagrants wa rangi nyengine hawasumbuliwi na kuchukiwa kama weusi, kwa nn?
 
Nadhani Gamba ameeleza vizuri. Suala la chuki ni kutokana na ushindani kwenye ajira. Immigrants weusi wanachukua kazi hivyo weusi wa Afrika kusini wanaona wamedhulumiwa. Lakini waafrika wa rangi nyingine hawaonekani kama wanawachukulia kazi. Suala hapa ni ushindani unaoletwa na weusi katika soko la ajira hasa ndogo ndogo au kazi za vibarua
 
Chuki ya weusi wa South kwa weusi wengine ni vigumu kuielezea. It might be true that iko linked na swala zima la ajira. Lakini cha kushangaza hata weupe, wahindi, wachina etc. nao ni migrants sawa na waafrica wengine na vilevile wanachukuwa kazi za haohao jamaa. Swali ni kwa nini watuchukie weusi wenzao na kuwakubali migrants wa kinzungu na wa kiasia. Nafikiri Makaburu walishawapandikizia kamti ndiyo maana wanakuwa hivyo. Nakumbuka miaka kumi iliyopita nilikuwa mitaa ya huko, jamaa wivu kwa wageni weusi hata kuuficha hawawezi, imagine mtu kama anasoma universty na ana sponsor wake wao wanafikiri ni serikali yao tu ndiyo inalipa hivyo inawaudhi. Magari ya mabalozi wa nchi wanafikiri ni nchi yao inalipa, wanachukia wafikiri jamaa wanatanua kwa kodi zao. Hawamini nchi kama TZ imewasaidia kupata uhuru kwa vile ni masikini. Hili la kusaidia tunalijua sisi wao hata akilini haliingii.
 

Ndivyo Tulivyo!!!
 
African President P.W. Botha to his Cabinet. This reprint was written by David G. Mailu for the Sunday

 
Last edited by a moderator:
Ukweli utabaki kuwa ukweli na kamwe ukweli hauwezi kubadilika umbo, tabia, sura, kamwe ukweli hauwezi kupotezwa kwa nguvu za upepo, jua, fedha na hata nguvu za giza kama zipo! Tumeshuhudia madudu mengi sana yanafanyika ktk nchi yetu Tanzania na mfano mzuri sana nijinsi vyombo vyetu vya habari ie TBC, Magazeti hasa yale yanayomilikiwa na bw ROSTAM AZIZ na yale ya serikali yalivyokuwa yanajaribu bila ya mafanikio kupotosha umma na pengine kujaribu kuleta hali ya kutoelewana miongoni mwa watanzania... kwanini tusikubaliane na haya maneno?;Blacks cannot rule themselves. Give them guns and
they will kill each other. They are good in nothing

else but making noise, dancing, marrying many wives
and indulging in sex. Let us all accept that the
Black man is the symbol of poverty, mental
inferiority, laziness and emotional
incompetence.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…