Nyani, Mwanamulundi na wengine wenye mtizamo tofauti na wenzetu mi nashauri basi tuwakubalie kwamba tunaonewa na hizi findings za wazungu ni racism at best, na sisi hatuendelei kwa sababu ya mazingira duni-talk about "nurture" and nature!, maana wazungu wana mazingira bora... mjadala uishe! Maana Kijakazi et al wanaamini kwamba si halali kutudharu wakati tuna maprofesa weusi huko harvard na kwingineko.
Ila mimi swali langu la msingi, hiyo elimu tumeifanyia nini? hiyo Timbuktu iliyokuwepo kabla ya OXFORD nk ILITUNUFAISHA VIPI KUJIKOMBOA NA HALI TULIYONAYO?? UU BASI TUSEME HII HALI TULIYONAYO-ITS JUST FINE? PERHAPS.
Nawaza mambo kwa kina, lakini sipati jibu.................
.......

Ng'wana Ngosha, mbona miye jibu ninalo... ila mazingira niliyokulia ndiyo yananifanya nichelewe kulitoa, hapa au kwenye thread nyingine!!
SteveD.
...get on that stuff and err'thing will be gravy including mazingira....it's Friday afterall....
Nyani, Mwanamulundi na wengine wenye mtizamo tofauti na wenzetu mi nashauri basi tuwakubalie kwamba tunaonewa na hizi findings za wazungu ni racism at best, na sisi hatuendelei kwa sababu ya mazingira duni-talk about "nurture" and nature!, maana wazungu wana mazingira bora... mjadala uishe! Maana Kijakazi et al wanaamini kwamba si halali kutudharu wakati tuna maprofesa weusi huko harvard na kwingineko.
Ila mimi swali langu la msingi, hiyo elimu tumeifanyia nini? hiyo Timbuktu iliyokuwepo kabla ya OXFORD nk ILITUNUFAISHA VIPI KUJIKOMBOA NA HALI TULIYONAYO?? UU BASI TUSEME HII HALI TULIYONAYO-ITS JUST FINE? PERHAPS.
Nawaza mambo kwa kina, lakini sipati jibu.................
...mnabishana bureee... jipimeni basi hapa
http://www.iqtest.com/
...kila mtu kivyake, mwenye ubavu alete IQ score yake; I hope haitakuwa same as the shoe size 'he's wearing'!!!
yangu hiyo hapo!!
Dear pangupakavu,
Thank you for your interest in the test at IQTest.com.
Your general IQ score is: 138
i was a bit dissapointed na hiyo test yenyewe kwani maswali yalikuwa ya kipuuzi mno!!kwa lugha nyepesi yalikuwa mepesi mno!!i expected somthing harder!!
maswali kama ya primary school bwana!!!i once did a tougher one..,it was in acertain magazine..and i had 127 something like that!!
Dear Nyani Ngabu,
Thank you for your interest in the test at IQTest.com.
Your general IQ score is: 147
Hata mimi mtasha...
You are now discrediting your own argument, aren't you?!
SteveD.
how....by scoring high on the test?
Pangupakavu hajasema kuwa anawatetea, hata kidogo na jinsi ninavyomjua hawezi kusema hivyo.Pangupakavu, unajua argument ya walio wachache humu ni; kwa nini with all pompous justifications hatujikomboi na huu umaskini wa kutupwa? unasema huwezi mlaumu JK au viongozi wengine;
Masanja, we are not inferior, wametuzidi kitu kinacho itwa maendeleo, na maendeleo yenyewe kama thread hii inavyotaka kuamini ni ya IQ, ambavyo sivyo...bali ni ingenuity, na ingenuity na IQ ni vitu viwili tofauti kwani vinahusiana na mazingira, ila vina husiana. IQ za juu ni hizo za kuanzia 110 na kwenda juu, pangupakavu kasema ana 138 na Nyani ana 147, hali maelezo ya Watson ni kwamba hivi vitu ni genetic ambapo kama ingekuwa hivyo basi hawa wawili wenzetu waliozitaja zao pamoja na kuwa watu weusi na waafrika basi wasingepata marks za juu kwani genes zao zisingeruhusu kama jinsi Watson anavyosema....
Kinachouma ni kwamba tuko tayari kuwaattack wazungu kwamba wanatuonea. wakati wanachokiongea (hata kama sio ukweli lakini ndicho kinaonekana)Mi nasema unless otherwise proven to the contrary by tangible results nitaendelea kuamini kwamba we are somehow inferior kwa wazungu. Prove me otherwise! Angalia leo Tanzania tunatumia reli ya mzungu tena mjeremani more than almost a century! hatujaongeza chochote kwenye ile reli ( I KNOW IT MAANA NDO INANIPELEKA KWETU) angalia madeni tuliyonayo, hizo pesa zilifanya nini? mtu unaweza kutumia $$100,000 kununua gari MOJA wakati raia wako next one kilometer wanakufa kwa kipindupindu? and you tell me...what.....?
Apologist unless you prove us otherwise, Degree ya Chenge ya Harvard ndo imepriside mikataba yote ya kijinga, kwa hiyo hiyo ni alama tosha elimu ya darasani siyo kigezo cha ingenuity kama muungwana Nyani anavyosema. Au mnataka tuwe kama CCM inavyodanganya watu (EL kawaambia watu kwamba mkataba aliosaini Karamagi is the best contract TZ have had so far, na mawaziri wako mbioni kwenda kuutetea kwa wananchi!) Kama tumefika huko kudanganyana mchana basi!
I dont operate on theories za akina Watson lakini unfortunately what they say is what we live with in our daily struggle here in bongo and Africa! With this kind of shifting burden the future of our continent is groomy!
Yes, wasn't a test for ingenuity, was it?!
SteveD.
I never said I was ingenious. Ingenuity has little to do with test scores. I am just booksmart, that's all. There are a lot of ingenious people that score miserably on standardized tests. But then you have people that have both ingenuity and book smarts.
Woow, what a combo; Just like you, Hence have a high IQ score.... am i wrong dude?!
I can tell that you are ingenious... (will explain this later on when I hit hard on this topic, pls just remind me). Hope I won't be boring you lot by asking you to wait... but hey, have given my reasons! lol
SteveD.
Hey I'm not ingenious like...only in my own little way that can't benefit humanity. But nah..you can't mention my name in the same breath as the Wright Bros. or Einstein, or Newton....
....or Nyerere!
SteveD.
...or you...or Mwanakjj