Waafrika Kusini ni watu katili kuliko mnavyodhani

Waafrika Kusini ni watu katili kuliko mnavyodhani

Wewe mshenz hebu kuwa na heshima,kuzamia si kwamba sikuwa na elimu,si kwamba sijui English,si kwamba mie ni mwizi,tulizamia coz we did not have money to make us travel legally,koma kabisa kama ulivyokoma kunyonya ziwa la mama yako,na usimdharau mtu usiyemjua mpumbavu mkubwa sana,hizo ni harakati za maisha usitukane watu,inaonekana una malezi mabovu sana wewe.

Achana na mtoto wa mama huyo...hawa ndio wanaovaliana blauzi na dada zao...wanadhani maisha kila siku mama atamuwekea chakula kwenye hotpot...pumbavu sana....
 
Maisha Popote Lakini Sio Sud De Afric'a!(kama Hujui Kifaransa Imekula Kwako)
 
Kumbe kujua ENGLISH ni kuwa na Elimu!!!!?????
Wewe mshenz hebu kuwa na heshima,kuzamia si kwamba sikuwa na elimu,si kwamba sijui English,si kwamba mie ni mwizi,tulizamia coz we did not have money to make us travel legally,koma kabisa kama ulivyokoma kunyonya ziwa la mama yako,na usimdharau mtu usiyemjua mpumbavu mkubwa sana,hizo ni harakati za maisha usitukane watu,inaonekana una malezi mabovu sana wewe.
 
kwa kweli mi ningekuwa SA saiz ningeishaua waSA wengi tu maana hata kama niko ugenini sio sababu ya wao kunipiga ovyo. vile video za wanachokifamya huko aisee zinasikitisha sana utadhani sio waafrika bwana...
 
umechangia nini kuzuia mauwaji ya albino????

acha ujinga wabongo tunachoma moto nyumba za wababu wabibi zetu kisingizio uchawi ni ukatili ulioaje huu
 
hakuna watu washenzi wenye roho mbaya wasio na huruma kama wasouth kuanzia kaka zao mpaka dada zao ukiona wanakupenda basi ujue kuna maslahi kwako

wewe wa ajabu sana? ni wasauzi wanakuja kukata mikono ya mtu aliyehai albino??
umekariri vibaya hata bongo mkutano uliopita wa bunge umepitisha sheria ya kulinda ajira za wazawa
rais wetu aliwafukuza wanyarwanda bila kujali wameshazaliana tz
arusha tours operators zimepigwa marufuku kuajiri tour guide wakenya
english medium primary skulis zimepigwa marufuku kuajiri foreigners

MBONA WASKAJI KIBAO HAPAHAPA BONGO WAMEFIA MIKONONI MWA POLISI? hawa polisi ni wasauzi???
 
hata wabongo wana ukatili kuliko wanakata mkono wa mtu aliye hai (albino)
wabongo tunafanyiziana tena kuliko hao wasauzi-usifumbe macho tazama dhulma tunazofanyiana
Inapokuja kwenye haki lazima isemwe ona hii!;-
Nyerere alianza, akafuatiwa na Kenyatta na akamaliza Idi Amin kuwatimua na kuwafukuza Wahindi na kuwadhulumu mali zao. Tanzania na Kenya na Uganda zikala khasara kubwa sana. Ikafika hadi pesa za kigeni zikayayuka, na ukionekana nazo ukashtakiwa, na ufakiri ukazagaa umasikini kuakubuhu hasa Tanzania na Uganda. Uganda imewataka radhi wenye asili za Kihindi na ikawaomba Wahindi warudi ili waijenge upya "nchi yao" ya Uganda. Kuna waliorudi na kuna waliobakia katika nchi kama Canada,US na UK na huko wengi kutundika picha za Idi Amin majumbani mwao kumshukuru kwa kuwafukuza kulikopelekea kufungukiwa kiuchumi na kufikwa na neema kubwa na kuwa matajiri wa kuitwa na kuitika ... !!
Chuki na ukatili huwa hujengi kitu, isipokuwa ina sambaratisha na kuleta hasara ya kudumu !!
Mungu ibariki Afrika...! wiseboy. Danny Job
 
Last edited by a moderator:
Hii ni story ya kutunga Tu. Nani asiyemjua wiseboy humu. Hajasafir sauz wala nini. Sasa ukitunga na kudangany unafaidika na nini. Unaboa bana:tape2:

Hivi wewe unanijua vizuri mimi? Kweli we ni mjinga na limbukeni wa hali ya juu,ingelikuwa unanijua ungeweza kutamka huo upuuzi wako,umekuwa mungu wewe wa kumjua mtu kwa ID tu? Huo ushamba umekuzidi sana,wewe unatumia ID ya Copenhagen kwa hiyo unataka humu wakujue kuwa upo Denmark? Wewe ndo unaboa sana na siyo mimi,halafu unaonekana kabisa kuwa we ni mshamba sana,pamoja na kuwa huko denmark unaona mi ni ndoto kuzamia south africa na shida zote nilizopata,you're more than a stupid,ukome kabisa kupiga ramli kwa kuhisi watu ujinga,na wewe tutajuaje kama kweli upo Denmark au kimanzichana? Unaonekana umetoka kwenye familia ya wachawi wewe si bure,unajaribu kunihisi mimi wakati natumia nuru na wewe unatumia giza,pole sana na IQ yako ndogo.
 
Duh makavu live
 
Achana na mtoto wa mama huyo...hawa ndio wanaovaliana blauzi na dada zao...wanadhani maisha kila siku mama atamuwekea chakula kwenye hotpot...pumbavu sana....

Upo sawa mkuu,tena huyu anaonekana alibemendwa na mama yake ndo maana ni nare nare sana shenz zake hili toto la mitaani,eti linajiita big_in nadhani mama yake alikuwa anapigwa na mtarimbo wa maana sasa linakumbuka nyambafu zake.
 
Timua balozi lao hapa ndio suluhisho
Kenyata amefukuza wa south wote tayari sisi tulamba lamba nini miguu
 
Na huyu nae chafuchafu mwengine unazamia nchi ya watu.

Kwanini hukusoma shule mnakwenda kutia aibu huko beach kazi yenu kukaba watu tena chaajabu mnakaba watanzania wezenu.

Wewe ni komando yoso ulokimbia kwenu kwa wezi unakwenda south ukiba lazima wakuuwe.

Nyinyi wabongo machafuchafu mnaishi beach hata english hamjui kujieleza hamuwezi kazi yenu wezi tu

Wewe big out ni ---- sana, umenikera sana unadhani watu wote ni watoto wa mama kama wewe kila kitu wanatafuniwa ? Unadhani watu wote wanaozamia hawajasoma shule? Acha chuki
 
Nilikuwa south Africa, nikiwa airport ya Johannesburg askari wa huko aliniambia usije ukawaamini watanzania waliomo huku, ni wezi, wanauza madawa ya kilevya na hufanya maovu ya kila aina, na kweli wakati nimekaa katika restaurant iyako juu hapo uwanja wa taifa, nikasikia watu wanaongea kiswahili, mazungumzo yao niligundua hawa watu ni wa hatari sana.
Kwa hiyo japo south Africa imewapa heshma watanzania kuingia huko bila viza na kupewa permit ya miezi mitatu free bado watanzania wanafanya uovu mkubwa sana huko.
Ijapo watu wanauwawa lakini ratio ya wanauwawa huwezi Linganisha na wakongo, warundi, wakenya.
Watanzania wanaheshmika sana hamjui tu
 
Kumbe kujua ENGLISH ni kuwa na Elimu!!!!?????

Unaonekana unanitafuta kwa udi na uvumba,unataka bifu na mimi? Mi ni moto wa kuotea mbali mkuu,nakushauri uwe na hekima,kwa hapa bongo mtu yeyote anayejua GRAMMAR ENGLISH,written,spoken,na read lazima awe na Elimu tena nzuri tu,hakuna mtu aliyesomea ENGLISH COURSE akajua GRAMMAR ENGLISH.hizi shule za kijinga zinajitangaza kila siku kwenye TV.Kwa hiyo wewe ni kama unaniwinda na mimi nawapenda sana watu wa sampuli yako humu jamvini.
 
Hivi wewe unanijua vizuri mimi? Kweli we ni mjinga na limbukeni wa hali ya juu,ingelikuwa unanijua ungeweza kutamka huo upuuzi wako,umekuwa mungu wewe wa kumjua mtu kwa ID tu? Huo ushamba umekuzidi sana,wewe unatumia ID ya Copenhagen kwa hiyo unataka humu wakujue kuwa upo Denmark? Wewe ndo unaboa sana na siyo mimi,halafu unaonekana kabisa kuwa we ni mshamba sana,pamoja na kuwa huko denmark unaona mi ni ndoto kuzamia south africa na shida zote nilizopata,you're more than a stupid,ukome kabisa kupiga ramli kwa kuhisi watu ujinga,na wewe tutajuaje kama kweli upo Denmark au kimanzichana? Unaonekana umetoka kwenye familia ya wachawi wewe si bure,unajaribu kunihisi mimi wakati natumia nuru na wewe unatumia giza,pole sana na IQ yako ndogo.
angalia povu linavyokutoka. Unatunga story halaf faster furaha yako kuona comments za watu. Sijui unafarijika na nini na hakuna anayekujua. mfuatiliaj mzuri sana wa cnn bbc aljazeera na yahoo news. Unaboa bana..c
chura wa kihansi wewe:A S 20:
 
Wewe mshenz hebu kuwa na heshima,kuzamia si kwamba sikuwa na elimu,si kwamba sijui English,si kwamba mie ni mwizi,tulizamia coz we did not have money to make us travel legally,koma kabisa kama ulivyokoma kunyonya ziwa la mama yako,na usimdharau mtu usiyemjua mpumbavu mkubwa sana,hizo ni harakati za maisha usitukane watu,inaonekana una malezi mabovu sana wewe.

Matusi mimi sijui wewe njaa yako sio kosa letu kwanini ukimbie nchi yako?

Hata elimu huna unatarajia nini kama sikuiba huko south?

Tena hapo beach ulipo kaa utakuja kukamatwa huna passport kwirikwiri wewe chafuchafu wa beach

Huna haki ya kupiga kelele serekali haitambui wezi umeuza tv ya baba ako mzazi uende south
 
Daaaah Mr Wiseboy pole sana. Zulu tribe ni hatari sana yaani hata masomo Kama unasoma nao darasani hawaezagi kusaidia mtu hawa jamaa hawakumbuki wala walipotoka

Wise boy gani huyu ni moja wavibaka wale machafuchafu wa beach kule south wanakaba watu ungenda mgeni

Huyu sio mtz ni kibaka wa beach wale makomando yoso walo kimbia mburahati

Mpe ushauri arudi dar aungane na panya road
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom