Waafrika Kusini ni watu katili kuliko mnavyodhani

wiseboy.

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
2,931
Reaction score
4,550
Nakumbuka miaka ya nyuma wakati nahangaika na maisha jijini Dar niliamua kuzamia kwenda South africa na wenzangu wawili,sipendi kuyaeleza mateso tuliyopata ila cha moto tulikiona,wiki moja kabla hatujakamatwa na kurudishwa nyumbani lilitokea tukio ambalo hadi leo limebaki kuwa kumbukumbu ya maisha yangu juu ya hawa watu,rafiki yangu Ali niliyezamia naye alichomwa kisu mara 10 huku nikishuhudia kwa macho yangu ktk ufukwe wa bahari Durban,baada ya kukutwa na jamaa akiongea na girlfriend wake,sikuwa na uwezo wa kumsaidia maana muuaji alikuwa akimshambulia huku kashika bastola,Ali alifariki,

Nimekuja huku migodini na kukuta wa south wengi wanafanya kazi kama expatriates,wameshawatandika mimba zaidi ya mabinti wanane mcharuko na kisha kuwatelekeza na kukimbia,mmoja ni binti mapepe mdogo tu ambaye hakuwa ametulia sasa kaachiwa mtoto na jamaa kukimbia, yeye na mtoto wanatunzwa na shemeji yake,kauharibu usichana wake hana ramani tena.

Kwa yeyote aliyewahi kukaa south atakubaliana nami kuwa hawa jamaa hawana huruma.
 
Daaaah Mr Wiseboy pole sana. Zulu tribe ni hatari sana yaani hata masomo Kama unasoma nao darasani hawaezagi kusaidia mtu hawa jamaa hawakumbuki wala walipotoka
 
Shida ni kwamba,kile kizazi kilichoteseka wakati wa makabulu enzi zile kinaanza kupungua,kizazi kilichopo ni watu walikuta ubaguzi lakini sio wa kuteswa sana kama kipindi kile,inawafanya kuona ni jambo la kawaida na hawahurumii waafrika wenzao,ni sawa na vijana kadhaa wa sasa hapa kwetu kwa upenzi wa vyawa vya siasa utawasikia wanasema bila uoga 'nchi hii ni bola tupigane ndo heshima itakuwepo na ukombozi utapatikana'...hizi ni kauli za watu wanaoona vita kwenye tv na habari mbalimbali lakini jambo hilo halijawakuta wakajua ugumu wa vita,S.Africa wamelewa yale maendeleo waliyofanya wazungu na sasa nchi yao iko vizuri wanakua na maringo na kuona hawa wageni wanaokuja wanachukua ajira zetu,lakini ukweli wale jamaa ni wavivu na wanataka maisha mazuri,usipofanya kazi kwa bidii maendeleo hutayapata na wageni watakuja na kuchukua fulsa.hua wanakuja kwenye vikao na mambo kadhaa ya kiofisi huku kwetu tunawaona jinsi walivyo na maringo mengi na kujivunia nchi yao,lakini vijana wao kule kwao hawafanyi kazi kwa bidii na nyingi sana za viwandani zipo
 
Nakumbuka miaka ya nyuma wakati nahangaika na maisha jijini Dar niliamua kuzamia kwenda South africa na wenzangu wawili,sipendi kuyaeleza mateso tuliyopata ila cha moto tulikiona,wiki moja kabla hatujakamatwa na kurudishwa nyumbani lilitokea tukio ambalo hadi leo limebaki kuwa kumbukumbu ya maisha yangu juu ya hawa watu,rafiki yangu Ali niliyezamia naye alichomwa kisu mara 10 huku nikishuhudia kwa macho yangu ktk ufukwe wa bahari Durban,baada ya kukutwa na jamaa akiongea na girlfriend wake,sikuwa na uwezo wa kumsaidia maana muuaji alikuwa akimshambulia huku kashika bastola,Ali alifariki,nimekuja huku migodini na kukuta wa south wengi wanafanya kazi kama expatriates,wameshawatandika mimba zaidi ya mabinti wanane mcharuko na kisha kuwatelekeza na kukimbia,mmoja ni binti mapepe mdogo tu ambaye hakuwa ametulia sasa kaachiwa mtoto na jamaa kukimbia, yeye na mtoto wanatunzwa na shemeji yake,kauharibu usichana wake hana ramani tena,kwa yeyote aliyewahi kukaa south atakubaliana nami kuwa hawa jamaa hawana huruma.

Na huyu nae chafuchafu mwengine unazamia nchi ya watu.

Kwanini hukusoma shule mnakwenda kutia aibu huko beach kazi yenu kukaba watu tena chaajabu mnakaba watanzania wezenu.

Wewe ni komando yoso ulokimbia kwenu kwa wezi unakwenda south ukiba lazima wakuuwe.

Nyinyi wabongo machafuchafu mnaishi beach hata english hamjui kujieleza hamuwezi kazi yenu wezi tu
 
Ngoja Wiseboy aje.
 
Nashukuru Ndugu mpendwa wiseboy umeandika kwa mkono wakono na umetamka kwa ulimi na mdomo wako.. umeliona kwa macho yako !!! Maana ulishawahi tuhumu na kunyoshea vidole makabila na mataifa mengi hapo mwanzoni...!!!
 
Last edited by a moderator:
Na huyu nae chafuchafu mwengine unazamia nchi ya watu.

Kwanini hukusoma shule mnakwenda kutia aibu huko beach kazi yenu kukaba watu tena chaajabu mnakaba watanzania wezenu.

Wewe ni komando yoso ulokimbia kwenu kwa wezi unakwenda south ukiba lazima wakuuwe.

Nyinyi wabongo machafuchafu mnaishi beach hata english hamjui kujieleza hamuwezi kazi yenu wezi tu

huna ustaarabu we jamaa,, hivi ukiongea kawaida utapungukiwa nini? hadi ujibu utumbo mijitu mingine bana.!!!!!
 
FROM A SOUTH AFRICAN

Dear Neighbour from Africa & Other Parts of the World

We have travelled the world and have not found one country that allow s the floods of humans across its borders as South Africa is experiencing. Even in wartorn part like Syria, Ukraine, Yemen and Somali.

We were 7 million people in Johannesburg City in 2011; today we have an estimated 13 million. Of course our infrastructure and services must collapse.

If you were quite prepared to disrespect the first Law of the sovereignty of our country why should you respect the rest of our laws?

We have just come out of an oppressive bloody Apartheid system while you North of the Limpopo had been enjoying freedom since 1960, 1975 and 1981 respectively.

We remember those proud milestones. But we are all still developing countries and our development must be impeded with so many strangers and illegals in our midst.

In Johannesburg alone you have taken over entire suburbs: Yeoville, Berea, Bez Valley, Turfontein amongst many. You have even moved into rural parts of our country that have 80% unemployment; and there are no visible signs that you have jobs either. But there are signs of drug-dealing, prostitution and other criminal acts that you conduct- sometimes in cahoots with desperate locals.

Your presence at this moment in our history is most destructive and destabilising to our country and our citizens.

Yes, we want to be proudly part of the geographic construct called Africa but we are as different from one another as Kenyans are from Nigerians, Ivorians from Chadians etc.

We recently received a story from the archives of teachers at a school in Cape Town. During the World Cup a group of primary school kids from different African countries north of the Limpopo were having a bloody fight in a suburb in Cape Town, South Africa/Azania, over a soccer match and one was stabbed to death and some others hospitalised. Those were kids between 9 and 11 years. They disliked one another's countries and at the same time felt that they did not really belong in SA.

We are pleading with you to return to your home countries- as our King Goodwill and many other great leaders have asked. Go and build up those countries so that we can all live in economic, social and political prosperity and peace -as neighbours. The genocide in this corner of Africa will be far worse than what happened in Rwanda in 1994. Then the entire continent will be condemned to ashes. Is that what you want?

Our people built this country with their blood and tears, but built it we did. For you to come here and take jobs at cheaper rates, use and abuse our scarce resources (schools, hospitals, shelters, clinics, parks, streets- even our churches and shacks and open spaces to live in while shops are literally running out of food) and further add to already high crime rates, IS WRONG and IMMORAL. South Africans not fully employed or who were found guilty of crimes, were recently repatriated from Nigeria and rightly so.

Our people are preparing for war against all foreigners (from Bulgaria to Pakistan and Bangladesh to Africa north of the Limpopo) and we are all very scared. Please GO HOME and BUILD Africa. Millions will die if you don't. This we can guarantee.

Good luck with your return

Patriotic Movement
Pan Local Forum
Unemployed Workers Forum
Anti-Crime Movement
And others.
 
Na huyu nae chafuchafu mwengine unazamia nchi ya watu.

Kwanini hukusoma shule mnakwenda kutia aibu huko beach kazi yenu kukaba watu tena chaajabu mnakaba watanzania wezenu.

Wewe ni komando yoso ulokimbia kwenu kwa wezi unakwenda south ukiba lazima wakuuwe.

Nyinyi wabongo machafuchafu mnaishi beach hata english hamjui kujieleza hamuwezi kazi yenu wezi tu

Wewe mshenz hebu kuwa na heshima,kuzamia si kwamba sikuwa na elimu,si kwamba sijui English,si kwamba mie ni mwizi,tulizamia coz we did not have money to make us travel legally,koma kabisa kama ulivyokoma kunyonya ziwa la mama yako,na usimdharau mtu usiyemjua mpumbavu mkubwa sana,hizo ni harakati za maisha usitukane watu,inaonekana una malezi mabovu sana wewe.
 
Waangalie wacje wakajuta coz hata nchi nyngne wasouth wapo so watatimuliwa bila naul
 
Nakumbuka miaka ya nyuma wakati nahangaika na maisha jijini Dar niliamua kuzamia kwenda South africa na wenzangu wawili,sipendi kuyaeleza mateso tuliyopata ila cha moto tulikiona,wiki moja kabla hatujakamatwa na kurudishwa nyumbani lilitokea tukio ambalo hadi leo limebaki kuwa kumbukumbu ya maisha yangu juu ya hawa watu,rafiki yangu Ali niliyezamia naye alichomwa kisu mara 10 huku nikishuhudia kwa macho yangu ktk ufukwe wa bahari Durban,baada ya kukutwa na jamaa akiongea na girlfriend wake,sikuwa na uwezo wa kumsaidia maana muuaji alikuwa akimshambulia huku kashika bastola,Ali alifariki,nimekuja huku migodini na kukuta wa south wengi wanafanya kazi kama expatriates,wameshawatandika mimba zaidi ya mabinti wanane mcharuko na kisha kuwatelekeza na kukimbia,mmoja ni binti mapepe mdogo tu ambaye hakuwa ametulia sasa kaachiwa mtoto na jamaa kukimbia, yeye na mtoto wanatunzwa na shemeji yake,kauharibu usichana wake hana ramani tena,kwa yeyote aliyewahi kukaa south atakubaliana nami kuwa hawa jamaa hawana huruma.

Umenikumbusha mbali nilikaa huko miaka 3 nilikuwa na jamaa zangu tuliyotoka huku kino, huko nlikutana na uporaji na u mafia wa kila aina
Ila nilichokifahamu huko ni kuwa lifestyle ya huko inambadilisha mtu Anakuwa na roho katili hata watz nao waliyokaa kaa hko miaka mingi syo wa kuwaamini
 
FROM A SOUTH AFRICAN

Dear Neighbour from Africa & Other Parts of the World

We have travelled the world and have not found one country that allow s the floods of humans across its borders as South Africa is experiencing. Even in wartorn part like Syria, Ukraine, Yemen and Somali.

We were 7 million people in Johannesburg City in 2011; today we have an estimated 13 million. Of course our infrastructure and services must collapse.

If you were quite prepared to disrespect the first Law of the sovereignty of our country why should you respect the rest of our laws?

We have just come out of an oppressive bloody Apartheid system while you North of the Limpopo had been enjoying freedom since 1960, 1975 and 1981 respectively.

We remember those proud milestones. But we are all still developing countries and our development must be impeded with so many strangers and illegals in our midst.

In Johannesburg alone you have taken over entire suburbs: Yeoville, Berea, Bez Valley, Turfontein amongst many. You have even moved into rural parts of our country that have 80% unemployment; and there are no visible signs that you have jobs either. But there are signs of drug-dealing, prostitution and other criminal acts that you conduct- sometimes in cahoots with desperate locals.

Your presence at this moment in our history is most destructive and destabilising to our country and our citizens.

Yes, we want to be proudly part of the geographic construct called Africa but we are as different from one another as Kenyans are from Nigerians, Ivorians from Chadians etc.

We recently received a story from the archives of teachers at a school in Cape Town. During the World Cup a group of primary school kids from different African countries north of the Limpopo were having a bloody fight in a suburb in Cape Town, South Africa/Azania, over a soccer match and one was stabbed to death and some others hospitalised. Those were kids between 9 and 11 years. They disliked one another's countries and at the same time felt that they did not really belong in SA.

We are pleading with you to return to your home countries- as our King Goodwill and many other great leaders have asked. Go and build up those countries so that we can all live in economic, social and political prosperity and peace -as neighbours. The genocide in this corner of Africa will be far worse than what happened in Rwanda in 1994. Then the entire continent will be condemned to ashes. Is that what you want?

Our people built this country with their blood and tears, but built it we did. For you to come here and take jobs at cheaper rates, use and abuse our scarce resources (schools, hospitals, shelters, clinics, parks, streets- even our churches and shacks and open spaces to live in while shops are literally running out of food) and further add to already high crime rates, IS WRONG and IMMORAL. South Africans not fully employed or who were found guilty of crimes, were recently repatriated from Nigeria and rightly so.

Our people are preparing for war against all foreigners (from Bulgaria to Pakistan and Bangladesh to Africa north of the Limpopo) and we are all very scared. Please GO HOME and BUILD Africa. Millions will die if you don't. This we can guarantee.

Good luck with your return

Patriotic Movement
Pan Local Forum
Unemployed Workers Forum
Anti-Crime Movement
And others.

....dont forget to send this message to SOUTH AFRICANS ALL OVER THE WORLD.....Ask them to come back home or they will face the same shit you do to other people.
 
There are two things, I can see on your article my brother; either you do not know the history of your country or you are just one of those stupid ones profoundly refused to educate themselves and find the only solution is to blame on everyone.

You should ask yourself how did you get your independence first? Then, if it was not other African nations that provided their resources which are too many to mention which assisted you to have that freedom of speech today or the nation so called SA.

Your freedom fighter Nelson Mandela, while was still on terrorist list in Europe and USA. It was your African brothers provided full support for him to gain grobal recognition as a hero.
 
wewe unaesema "chafuchafu" huna hata akili n kama vle mtu asiekua na muono wa mbali, kila nchi katika dunia hii inayo wagen wa kutoka sehem mbali mbali mfano; kile kisiwa cha lampedusa kule Italy kinapokea wahamiaji kila cku na wanapewa hifadh hawachomwi moto wala hawauliwi, zipo taratibu za kufatwa ili wagen warud makwao cio kuwaua au kuwatesa..
 
Hii ni story ya kutunga Tu. Nani asiyemjua wiseboy humu. Hajasafir sauz wala nini. Sasa ukitunga na kudangany unafaidika na nini. Unaboa bana:tape2:
 
Ikitokea south Afrika wanasema ni wasouth hao,ingetokea misri ingesemwa ni waislamu,kuchunwa ngozi ikitokea mbeya wanasema watu wa mbeya ovu likitokea unguja wanasemwa waislamu dah''''"
 
hakuna watu washenzi wenye roho mbaya wasio na huruma kama wasouth kuanzia kaka zao mpaka dada zao ukiona wanakupenda basi ujue kuna maslahi kwako
 
Na huyu nae chafuchafu mwengine unazamia nchi ya watu.

Kwanini hukusoma shule mnakwenda kutia aibu huko beach kazi yenu kukaba watu tena chaajabu mnakaba watanzania wezenu.

Wewe ni komando yoso ulokimbia kwenu kwa wezi unakwenda south ukiba lazima wakuuwe.

Nyinyi wabongo machafuchafu mnaishi beach hata english hamjui kujieleza hamuwezi kazi yenu wezi tu

wewe mkongo man acha ushamba wako kubwa jinga wewe nenda kasaidie wakongo man wenzako wanapigwa baridi usiku kubwa security huko...mshamba wewe Watanzania hatuna tabia za chuki za kike kike kama zako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom