Waafrika Kusini ni watu katili kuliko mnavyodhani

Waafrika Kusini ni watu katili kuliko mnavyodhani

Natamani africa in general ingefanya kitu ambacho raia wa wa kawaida SA wangeumia moja kwa moja.
 
Wewe utakua panya road Mkuu tatizo lenu hamna elimu.

Wewe sijui kama umefika hata darasa la saba?

Njoo nikupe hela uka some QT huja chelewa mkuu
Kama Elimu ni kutaka watu wauawe basi Elimu yako ilikuwa ya kuiba mitihani na kukariri huna kitu kichwani ! Huu Ujinga wa kutaka wageni wauawe tu kihorela kisa Eti wapo beach na wanamiliki biashara unapaswa utolewe mfano kwa wa-south Africa ambao wapo Nchi zingine nao wafukuzwe ili wajue Uchungu wa kufanya mambo ya kijinga jinga pasipo kutafakari kabla.
 
Natamani africa in general ingefanya kitu ambacho raia wa wa kawaida SA wangeumia moja kwa moja.

Ni wakati wa kuwapelekea massage kali kwa njia ambayo itawaamsha Akili, kwanza inabidi wakumbushwe kuwa bila Nchi jirani wasingekuwa Huru hadi leo na huo ujinga wao wasingepata nafasi ya kuua watu bali wao wangeendelea kuteseka na Ubaguzi toka kwa Wazungu, inawezekana Wazungu waliwajua hawa wazulu tokea zamani ndiyo maana walikuwa wakiwathibiti, kama vp Nchi zingine nao wawafukuze na makampuni yao ili Serikali yao iamke na kukomaa zaidi, wachina wapo wengi Africa kusini kuliko Mataifa mengine Lakin hawaguswi ! Cha Ajabu Eti ni Ubaguzi wa weusi kwa weusi wenzao.
 
....dont forget to send this message to SOUTH AFRICANS ALL OVER THE WORLD.....Ask them to come back home or they will face the same shit you do to other people.

Wangoni nao wasepe
 
nimeshajua kwanin wazungu walikua wanawaua hawa wa south Africa kama mbuzi
 
Tatizo huna elimu acheni wezi rudi shule huja chelewa mkuu

Elimu gani unaitaka ? Mbona wewe Elimu haijakusaidia ? Akili zako ni za Unyama unapenda Mauaji? Nani kakuambia kuwa Elimu inapunguza wizi ? Tambua kuwa Wezi woote na mafisadi Tanzania ni wasomi wakubwa, Kuwa na Elimu si kigezo cha kutokuwa Mwizi, kaa ukijua wizi wa kisasa nao lazima uwe na Elimu, Ubaguzi huu wa kijinga unapaswa ulaaniwe saaana na wanapaswa watambue kuwa bila Nchi jirani kuwakomboa leo hii wangekuwa bado wanataabika na Ubaguzi toka kwa wazungu.
 
nimeshajua kwanin wazungu walikua wanawaua hawa wa south Africa kama mbuzi

Wazungu waliwajua kitambo kuwa Akili zao ni ndogo sana na huwa hawana shukrani ndiyo maana waliwakalia kooni.
 
Wa-south Africa ni wasahaulifu sana na weusi wengi hawana shukrani kabsa ! Leo hii wamesahau kuwa Kambi zao za Ukombozi zilikuwa Tanzania na Nchi zingine za Kiafrika na wakombozi wao walikuwa ni waafrika Wenzao! na bila bidii na misaada yao Leo Hii kusingekuwa na Uhuru toka kwa Wazungu wangeendelea kutawaliwa na kuuawa ! Rais wa Dunia na Rais wa Africa wanapaswa watoe matamko makali sana na wananchi wa kawaida wapewe msg itakayowafikia vyema.
 
Akujue kwa sababu ipi ya msingi wewe ni kibaka nani asie kujua?

Nenda kazamie ulaya wakule tigo ndio kilicho baki kuiba itakuwa ngumu kuna TV maduka yote.

Watanzania hawaji south kuna machafuko sasa utamkaba nani bibi yako?

Siku hizi nasikia mnalala kwenye magari pale kwa manila

Wewe sidhani kama unakisoma unachokiandika, utakuwa umeamua kujiandikia tu ili mladi na wewe uonekane upo JF unachangia mada. Tambua Haki za binadamu kaa ukijua kuwa kila mtu ana haki ya kuishi.nadhani unaandika haya kwa kuwa ndugu zako hawajauawa huko Darban, Lakin siku wakiuawa utazinduka toka kwenye Ushetani uliokujaa.
 
Shida ni kwamba,kile kizazi kilichoteseka wakati wa makabulu enzi zile kinaanza kupungua,kizazi kilichopo ni watu walikuta ubaguzi lakini sio wa kuteswa sana kama kipindi kile,inawafanya kuona ni jambo la kawaida na hawahurumii waafrika wenzao,ni sawa na vijana kadhaa wa sasa hapa kwetu kwa upenzi wa vyawa vya siasa utawasikia wanasema bila uoga 'nchi hii ni bola tupigane ndo heshima itakuwepo na ukombozi utapatikana'...hizi ni kauli za watu wanaoona vita kwenye tv na habari mbalimbali lakini jambo hilo halijawakuta wakajua ugumu wa vita,S.Africa wamelewa yale maendeleo waliyofanya wazungu na sasa nchi yao iko vizuri wanakua na maringo na kuona hawa wageni wanaokuja wanachukua ajira zetu,lakini ukweli wale jamaa ni wavivu na wanataka maisha mazuri,usipofanya kazi kwa bidii maendeleo hutayapata na wageni watakuja na kuchukua fulsa.hua wanakuja kwenye vikao na mambo kadhaa ya kiofisi huku kwetu tunawaona jinsi walivyo na maringo mengi na kujivunia nchi yao,lakini vijana wao kule kwao hawafanyi kazi kwa bidii na nyingi sana za viwandani zipo

Hawana somo la historian mashuleni???????hawa ni makatili wa asili
 
Nyerere hajawahi kuwafukuza wahindi au wazungu. Labda useme, sheria ya ubinafsishaji wa mali za watu na sheria ya uhujumu uchumi ilikimbiza wahindi, hapo nitakuelewa. Hata hivyo, sio wahindi tu walioathirika, hata waafrika walikuwa wahanga wa sheria hizo.

Kwa kuongezea, kama kuna kitu kilimtesa Nyerere katika miaka ya mwanzo ya utawala wake basi ni inclusivity-alitamka wazi kwamba anawachukia wazungu kwa sababu ya matendo yao na sio rangi yao. Hivyo, alipopata madaraka, wahindi na wazungu walipata nafasi mbalimbali za uongozi-kinyume na matarajio ya weusi wengi ambao walidhani wakati wao umefika na 'wageni' hawana nafasi. Ndio chanzo kikuu cha 1964 Army Mutiny-senior officers wengi walikuwa 'wageni'. Chimbua historia, usiamini umbea wa mitaani na kwenye vijiwe vya kahawa. Ni Uganda ya Amin pekee iliyofukuza wahindi.
Kacheze hukooo mbali !! ............................................................................................. kajumba kamoja tosha!!
 
Wa-south Africa ni wasahaulifu sana na weusi wengi hawana shukrani kabsa ! Leo hii wamesahau kuwa Kambi zao za Ukombozi zilikuwa Tanzania na Nchi zingine za Kiafrika na wakombozi wao walikuwa ni waafrika Wenzao! na bila bidii na misaada yao Leo Hii kusingekuwa na Uhuru toka kwa Wazungu wangeendelea kutawaliwa na kuuawa ! Rais wa Dunia na Rais wa Africa wanapaswa watoe matamko makali sana na wananchi wa kawaida wapewe msg itakayowafikia vyema.

Rais wa Dunia na Rais wa Africa ndo kina nani mkuu?
 
Najaribu kukumbuka hotuba ya baba wa taifa akizungumzia ubaguzi...Dhambi ya ubaguzi inaendelea kuitafuna South Africa, iwapo wageni wote watatoka SA, unajua nn kitafuata... wataanza kubaguana wao kwa wao kwa matabaka yao, makabila yao na mwisho wa siku watarejea kulekule... Wakumbuke ukombozi wa nchi yao ulifanywa na hao wanaowabagua leo, Ikiwemo Tanzania na mataifa mengine yalitangulia kupata uhuru
Cha ajabu ni kwamba makabulu waliopo SA hawafanyi mambo hayo ya mauaji... wanaofanya hivi ni lile tabaka la wavivu wasiotaka kufanya kazi kulingana na uwezo wao wa kielimu naamini kun Wasouth Africa wengi all over the World je tukiwafukuza karmtika nchi zetu na wakarudi kwao ndio watatatua matatizo. Hebu kaeni chini viongozi wa Africa mione kuwa hiki ni TATIZO 😡😡😡
 
Twende Wapi?

That was figure of speech my brother. If they do that, why don't we do this. I mean, how will the Ngoni feel if they are told to return to South Africa? Bad, right? and it WILL NEVER HAPPEN ( for them to be told to leave Tanzania )

South Africans should understand that, Black people are brothers and sisters. We are one, the same. We are luck because at most we are not like Asians, I mean they look different from one another. Look at the chinese, Japanese, Indians and Arabs. However, we look alike but we act like we are strange from one another.

The South Africans have many things to fight for i.e AIDS, ECONOMIC INEQUALITIES AMONG THE BLACK AND WHITES, LAND OWNERSHIP ( The majority of Land owners are whites), CORRUPTION and GOOD GOVERNANCE ( As ZUMA government is totally corrupt not to fight their fellow blacks.

Kwanza as Africans, we have a mandate to fight and join forces in order to be able to resist neo-colonialism. Cha ajabu ndo tunauana wenyewe kwa wenyewe.

Hii mbegu inayopandwa na huko South ikisambaa Africa, watu wengi sana watauana.

Ni hayo tu
 
angalia povu linavyokutoka. Unatunga story halaf faster furaha yako kuona comments za watu. Sijui unafarijika na nini na hakuna anayekujua. mfuatiliaj mzuri sana wa cnn bbc aljazeera na yahoo news. Unaboa bana..c
chura wa kihansi wewe:A S 20:

Achana na mimi mjinga wewe,umeona Denmark ni bonge la nchi hadi unaiwekea ID,lijinga sana wewe,ni bora niishi bongo kwa kuuza chips kuliko kula makombo ya wazungu nyambaf zako.
 
Kama Elimu ni kutaka watu wauawe basi Elimu yako ilikuwa ya kuiba mitihani na kukariri huna kitu kichwani ! Huu Ujinga wa kutaka wageni wauawe tu kihorela kisa Eti wapo beach na wanamiliki biashara unapaswa utolewe mfano kwa wa-south Africa ambao wapo Nchi zingine nao wafukuzwe ili wajue Uchungu wa kufanya mambo ya kijinga jinga pasipo kutafakari kabla.

Unapoteza muda wako bure mkuu kulijibu hili toto la kahaba.
 
Nilikuwa south Africa, nikiwa airport ya Johannesburg askari wa huko aliniambia usije ukawaamini watanzania waliomo huku, ni wezi, wanauza madawa ya kilevya na hufanya maovu ya kila aina, na kweli wakati nimekaa katika restaurant iyako juu hapo uwanja wa taifa, nikasikia watu wanaongea kiswahili, mazungumzo yao niligundua hawa watu ni wa hatari sana.
Kwa hiyo japo south Africa imewapa heshma watanzania kuingia huko bila viza na kupewa permit ya miezi mitatu free bado watanzania wanafanya uovu mkubwa sana huko.
Ijapo watu wanauwawa lakini ratio ya wanauwawa huwezi Linganisha na wakongo, warundi, wakenya.
Watanzania wanaheshmika sana hamjui tu

Mkuu ongea wewe huyu Wise boy hailewi hawa wote ni wezi hawana elimu wanakaba watanzania wezao.

Mimi nipo Cape town walikuja kwangu wabongo machafuchafu kama huyu wise boy.

Sema toka bongo mimi nilikuwa na cheza michezo ya ngumi karate na boxing zimelala nikawatandika wote watano niwaita polisi wako ndani mbongo ni mtu wakuogopa.

Wanaishi beach tena huyu wise boy sijui kama hata shule amekwenda
 
Na huyu nae chafuchafu mwengine unazamia nchi ya watu.

Kwanini hukusoma shule mnakwenda kutia aibu huko beach kazi yenu kukaba watu tena chaajabu mnakaba watanzania wezenu.

Wewe ni komando yoso ulokimbia kwenu kwa wezi unakwenda south ukiba lazima wakuuwe.

Nyinyi wabongo machafuchafu mnaishi beach hata english hamjui kujieleza hamuwezi kazi yenu wezi tu

kabla hujamyooshea kidole mwenzio angalia vile vinavokuangalia kwan alikuomba ushaur wakat wa kwenda hadi umtolee povu hivi busara hainunuliwi
 
Unapoteza muda wako bure mkuu kulijibu hili toto la kahaba.

Kahaba wewe mwizi hasara kubwa kwa tanzania jitu kama wewe akili huna.

Kazi yenu kupiga kelele tu na wizi na kukaba watu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom