Ngoja siku uambiwe ini lako limeoza ndio utajua yupo MunguHabarini Ndugu.
Afrika Afrika Afrika na pande baadhi Duniani kwa Ujumla Tumevurugwa na Vichwa Vyetu vimeoza kwa Kupotoshwa kwa Makusudi na Kwq Wengine kwa Ulazima wa Nguvu za Mabavu
Tumekubali Kuabudu Miungu badala ya Mungu mwenye Vyote . Sasa Tunaabudu Miungu ya Watu na Makabila ya Kale.
Leo hii Mtu kutoka Ulaya akija Kukusimulia Amemuona Malaika Kashuka Kutoka Mbinguni Akamwambia Moja Mbili Tatu. Na Jina Lake ni Fulani. Mwafrika Bila Kufikiria Anaanza Kumwomba Huyo Malaika Kwa Maneno tu Ya Jmaa mmoja Mwenye Ndevu nyingi aliyetoka Huko kumwambia Hivyo.
Mwafrika anajikuta anaanza Kuabudu kitu asichokijua wala hajawahi kukiona . mwisho wa siku anaharibikiwa Maishani anaanza Kulaumu Dunia Imeoza . wakati Yeye kumbe ndie kaoza kwa Kuabudu vitu Alivyoambiwa na Kuandikiwa tu kwenye Karatasi. Na Tena Hata Bila Kutumia Akili Timamu Anaanza Kukitetea Kitu ambacho hajawahi Kukiona zaidi ya Kuambiwa Na Kuandikiwa kwenye Karatasi.
Mwisho wa Siku mnajikuta Mnaabudu Viumbe Malaika na Mnaacha Njia Sahihi za Maisha Yenu. Chunguzeni mtagundua Kwamba Nyie Mnaabudu Viumbe Malaika, maana Ndio waliowapotosha kwa Kuwaleteni Ujumbe na Wakasingizia Umetoka Kwa Mungu
Hebu Chukulia mfano huu. Kama Kweli mmefunga Na Mna-utaratibu wa Kuabudu ulio sawa basi Mngefungua Wote na Mkawa na Umoja Ulio sawa ila Angelieni Mlivyovurugwa. Huku mnasema Hivi Kule Wanasema Vile. Kma Kweli mnaabudu Mungu Mmoja Inakuwaje Leo Mnapingana?
Ndio mmjue Kwamba hamuabudu Huyo Mola mmoja Bali mna Ma mola Wengi wasioelewana. Maana Mola Si Mungu na Mungu si Mola.
Jambo Jingine
Leo hii Mwafrika Atakubali utafiti wa Mtu kutoka Nje kuliko Yeye Mwenyewe kujitafakari Ki Akili Timamu. Leo hii Watanzania Wengine wanaamini Eti mtu wa Kwanza Fuvu lake Lilikuwa Tanzania. Hivi kama Kweli Mtu wa Kwanza Alikuwa Tanzania , Mngehitaji Mtu mwingine aje Awaambie Hivyo kwani Nyie Hamkuwepo Tanzania(Tanganyika)? Mkamuona Huyo Mtu wa Kwanza Na Kizazi chake mpka Mtu mwingine Aje eti awaambie Mtu wa Kwanza Alikuwaga Hapa
Kwa Akili Timamu Haiingii akilini Wewe mwafrika Uje Usimuliwe Kama Vile Wewe hunaga Akili za Kutafakari. Kazi yako ni kupokea tu vitu usivyovijua Vimetokea wapi. Ukiangalia Mambo yao Mengi wanayowaandikia kwenye Vitabu mnavyovisoma Vingi ni Nadharia tu(Theory) maana Yake Bado hawana Uhakika na Wanayokuandikia Wewe uyasome. Ndio maana Leo hii Kitu ulichokisoma Miaka 5 nyuma Kishabadilika Hakipo vile ulivyokisoma Leo hii na Sometimes Ulidanganywa Huko miaka 5 nyuma.
Waafrika Tujitafakari Kabla Hatujapokea pokea Vitu Na Tukaviweka Vifuani Mwetu na Kuvitetea .
ASANTE
Wanaomjua mungu maini yao hayaozi?Ngoja siku uambiwe ini lako limeoza ndio utajua yupo Mungu
Mungu ndiye atatoa taarifa ya kuoza ini?Ngoja siku uambiwe ini lako limeoza ndio utajua yupo Mungu
Hatupo Nyuma Ila Akili Zetu Zimelala. Wewe ushaenda Kununua Gari la Masudi Kipanya ukaacha Kuagiza magari ya Japan?Ni kweli mbu wapo huku kwetu na sio Ulaya lakini walioweza kutafiti na kutengeneza dawa nzuri na kinga za malaria kama vile vyandarua ni wazungu. Wakati mwingine tunahitaji kuukubali ukweli tu kwamba tupo nyuma kielimu na kiteknolojia. Mbona unatumia simu yako kutoka ulaya, umehoji hilo?
Naamini Mungu Yupo ila Siyo Huyo anayewavuruga.Ngoja siku uambiwe ini lako limeoza ndio utajua yupo Mungu
Wamekaa kwenye Vitisho na Mahubiri ya Vitisho. Ukiangalia Wenye Matatizo Wengi wapo Makanisani na Ndio hao Wanatamba Kwamba Wanamjua MunguWanaomjua mungu maini yao hayaozi?
Shida wengi wanaendeshwa na negative programming.........mungu wao ni wavitisho tuu kwa namna hio lazima hata wafuasi wake wanakua wameathirika na hizo negative programming, angalia watu wengi kwenye hizo nyumba zao za ibada wengi wamejaa unafiki tu na kujazana hofu huku hawaelewi wanachokiabudu..............wanakuja hapa na mtu atakachokwambia ili kuthibitisha uwepo wa huyu mungu wake ni vitisho......hakuna tofauti na wachawi kabisa.........Wamekaa kwenye Vitisho na Mahubiri ya Vitisho. Ukiangalia Wenye Matatizo Wengi wapo Makanisani na Ndio hao Wanatamba Kwamba Wanamjua Mungu
Halafu Leo Hii Mtu anakoment Eti Ukiugua Maini Utamjua Mungu Yupo utadhani Hao maini Ndio Uthibitisho wa Uwepo wa Mungu
Hivi Afrika tuna mungu wetu wa waafrika tu na jamii zengine wana miungu yao kwa jamii zao tu au ikoje?Wamekaa kwenye Vitisho na Mahubiri ya Vitisho. Ukiangalia Wenye Matatizo Wengi wapo Makanisani na Ndio hao Wanatamba Kwamba Wanamjua Mungu
Halafu Leo Hii Mtu anakoment Eti Ukiugua Maini Utamjua Mungu Yupo utadhani Hao maini Ndio Uthibitisho wa Uwepo wa Mungu
Hiyo ndio imani ilivyo mtu anaamua kuamini kile anachoona ndio sahihi kwa mtazamo wake.sasa na wale wanaoabudu binadamu wenzao kwa kuwa wana mihelaaa mingiii ama mamlaka makubwaaa kiasi cha kuweza kukingiwa kifua tuwaweke kundi lipi
Mungu ni mmoja shida inakuja namna ya kumtambua huyo mungu tokana na asili yako na mazingira yako..........afrika wengi tumepumbazwa hatuelewi tunachoabudu. ..ni kama tu hizi elimu zetu tulizoachiwa na mkoloni mnasoma ila impact 0Hivi Afrika tuna mungu wetu wa waafrika tu na jamii zengine wana miungu yao kwa jamii zao tu au ikoje?
Kuelewa unachoabudu ndio kukoje?Mungu ni mmoja shida inakuja namna ya kumtambua huyo mungu tokana na asili yako na mazingira yako..........afrika wengi tumepumbazwa hatuelewi tunachoabudu. ..ni kama tu hizi elimu zetu tulizoachiwa na mkoloni mnasoma ila impact 0
Kwani Mkuu huyo aliyekataza pombe hapa duniani ni kwa sababu wewe ukinywa anadhurika yeye au kakataza kwa faida ya aliyekatazwa?Tatizo machoni petu wengi tunagiza hatuoni tunapokwenda wote dini zote tunajua Mungu amekataza kunya pombe na uzinzi sasa iweje huko haela kuwe na Mto wa pombe yaani Mola ndio mlevi hivo na hao mabikra je sindo uchafu watu mtajamii ana mpaka machoni chumbani kwake mimi nashauri tuwage na vitu vya kuamini kwanza huyo allah ni mbaguzi wa jinsia na mmekuwa vipofu na hila zake kwa mambo ya kusimuliwa
Yapo mangapi barabarani au kwenye yard na yana ubora gani?Hatupo Nyuma Ila Akili Zetu Zimelala. Wewe ushaenda Kununua Gari la Masudi Kipanya ukaacha Kuagiza magari ya Japan?