Serikali inasema vijana wajiajili ikiwa kwenye vyombo vya habari,
Vijana wakianza kujiajiri inawakuta huko walikojiajiri inawafukuza,sasa sijui nchi hii itaendelea katika mfumo gani.
Maana yangu,baada ya vijana wengi kuhitimu vyuo na kukosa ajira,wengi imebidi wajiajiri kwenye kilimo cha umwagiliaji,sasa huko wanakoloma wengi wanatumia maji ya mito inayowazunguka,lakini cha ajabu serikali imepiga marufuku vijana wasitumie maji hayo eti wanaharibu rasimali,sasa najiuliza kazi za maji hayo ni zipi?
Ndo mambo yaleyale...mzawa usichimbe dhahabu ila mzungu achimbe.
Serikali kama inakataa maji yasitumike basi iseme hayo maji yanaenda wapi,na kufanya nini..haiwezekani izuie vijana kunufaika na rasilimali za nchi..