Waache wacheze, ugomvi wetu hauwahusu kabisaaa....

vukani

JF-Expert Member
Dec 30, 2009
245
165

Wanandoa walikorofishana muda mfupi kabla ya kwenda kulala.
Baada ya ugomvi kila mmoja akaamua kulala upande wake, maarufu kama mzungu wa nne.


Ilipofika alfajiri kama mjuavyo, jamaa jogoo wake akawa amewika yaani ile kitu imesimama haswa, jamaa kwa hasira akawa anaiambia kitu yake “we unajua jana usiku tumegombana, sasa kusimama simama alifajiri hii si ni kunionea bure, unadhani leo utapewa, imekula kwako”

Mkewe akajibu., “kwani ugomvi wetu unawahusu nini? Kama wao wanataka kucheza waache wacheze”

Jamaa kwa furaha akajibu, “Ni kweli mke wangu ugomvi wetu hauwahusu kabisa, hebu tuwaache wacheze……..

Kilichoendelea kila mmoja wetu anakifahamu…..LOL

 
Ndo uzuri wa NDOA bana. hata mnuniane vipi itafika saa ya kulala kama si leo basi kesho yake lazima mtamalizana kwa kumegana tu mkitoka hapo ni vicheko tuuuuu
 
Kuna ule msemo wasema raha ya utamu uwe na hamu..dar kumbe hamu nayo huwa haizuiliki....wagombanao ndio wapendanao..
 
Ugomvi mwingi unaweza malizwa kitandani.ukijua umekosa andaa mechi ya kirafiki chapchap,cheza vizuri kuliko kawaida, funga timu pinzani magoli kibao tena kwa ufundi wa hali ya juu.UTASHANGAA MAKOSA yakoYOTE YATAFUTWA hapo hapo baada ya mechi. UMESAMEHEWA tena bila kuomba msamaha.
 
Kawaida wanandoa wanapogombana ukiitwa kutatua tatizo usibase kwa yoyote kuwa neutral kwenye usuluhishi mana usiku ukiingia wanapata na kupiga story so usije kuwaonekana mbaya kwa kutetea pande moja.Mwisho wa hasira usiku tu!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom