wa USWAZI mpo?

icon12.gif
????????....confusion?

No CONFUSION Level... What I mean is that you shouldnt let where you are from (uswazi, ghetto) hold you down or describe what kind of future you should have, simple.. no confusion..

smatta.
 
Acha hizo Komredi...hebu ntajie hicho kifaa....

I swear hakuna mtu anayenijua humu ndani...

Akijitokeza mtu anayenijua nitampa dola 100....
..............................LOL...........................................................
Dont swear bro, seems like people know you in here.. Just give an offer na niko shua jamaa atajitokeza na details zote.
 
Hakuna anayenijua humu....

Naongeza dau...sasa ni dola 200
 
Acha hizo Komredi...hebu ntajie hicho kifaa....

I swear hakuna mtu anayenijua humu ndani...

Akijitokeza mtu anayenijua nitampa dola 100....

Hehehehe Komredi ulifikiri hujulikani oooh watu hapa wanafatilia sana ishu ambazo haziwahusu
 
Hehehehe Komredi ulifikiri hujulikani oooh watu hapa wanafatilia sana ishu ambazo haziwahusu

Dau linazidi kuongezeka sasa ni dola 300...Yo Yo hizo zinaweza kununua zile ndaba za Swizz Beats alizovaa kwenye BET awards...au huzitaki tena?
 
Mmenikumbusha wakati nakaa pale mbagala rangi tatu kwa mtitu, basi siku moja nika piga zangu down town. nikala mbili tatu ile narudi mishale ya saa nne usiku washikaji kumbe nimetoka nao stesheni, walinikwida na kuambaa na mifuko yote, make walifanya kuinyofoa kwenye suruali na shati, nashukuru nilikuwa choka mbaya na shs. 300 mfukoni.
 
ha ha haaa..... duh mmenikumbusha mbali sana aiseee, mambo ya machungwa, magurumbasi, mafarasi na tololi..... duh, kweli maisha ni karata jamani........ haya twende tuone...
 
amini usiamini Nilikutana na filipono bongo last month...kafungua duka la simu pale kwenye kona ...mambo ya vibanda kaachana nayo

mambo yake supa mpka wanamwibia pesa from his account
 
da swazi mwana kuna raha yake,nikikumbuka kuanza maisha uswazi ilikua kwa bi hania migomigo usokee mamake salama mfamao,kipindi tunaenda goran peak kumuona digadiga na kelly john na blood moses wanacheza shoo,halafu ngoma ikahamia tzr vetenary,kuna mahali wao wanaita njaro huko mikosi babu viburudisho vyote duniani unapata pale kama brazil,kino ndo wacha,mango,masai,katumba,kwa manyanya,kwamama kitunguu,tazara club,neema bar,kiria,bamboo,chez ntemba,meridian yaani we acha tu mwisho hata nilewe vipi lazima niende mwananyamala kwa mama kishori nchukue vitumbua ndo nkalale,bongo tambarareeeeeeee
 
Jamani wale waliosoma Kibasila sec, mpo yule muuza miogo alikuwa anaitwa nani nakumbuka kuwa alikuwa ni mpemba. Mwalimu Garama wa chemistry Hoo! it long time man
 
Dau linazidi kuongezeka sasa ni dola 300...Yo Yo hizo zinaweza kununua zile ndaba za Swizz Beats alizovaa kwenye BET awards...au huzitaki tena?
pandisha dau kijana.....si unajua nita risk(permanent ban)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom