wa USWAZI mpo?

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,545
833
Humu kila kona utasikia sijui mie nimekaa Masaki sijui nimesoma Shebby...nadhani its about time sisi watu wa Uswazi tukajibu..mimi nadhani hii iwe yetu sisi watu wa Uswazi tukapeana nyeti tena kwa lugha zetu ambazo watoto wa kishua hawawezi kustukia au mnasemaje mivinje ?

Anyway mimi kila chimbo nishakaa Temeke mwisho, Tandika mabatini, Tandika magorofani,Manayamala Kisiwani, Migomigo zote, ilala ndio usisikie maana nilikuwa nafunga kule striti na magorofani kwa akina Ngabu, Buguruni ndio usisikie maana kuanzia Bungoni Mpka kwa Mnyamani ndio kwangu na chai of course nilikuwa napata pale nje ya kito cha daladala mbele ya shule ya msingi buguruni, naam na maulidi za mfungo sito nilikuwa skosekani pale uwanja wa magunia kabla wale wahuni hawajenga ubalozi wao

haya leteni stori watoto wa uswazi
 
Wa uswazi tupo kichaa kichaa wangu. Ni kweli hapa kila mtu anasema katoka magetini mitoto ya kula mayai kwa sana. Mimi toto la uswazi kichaa wangu mitaa ya Tandika kwa maguruwe. Primary Temeke wailes. Uswazi mambo yote matawi ya juu na kujiachia kwa sana tu, lakini magetini mpaka m-sure atoe ruhusa.
 
M2 wangu mbona tupo wengi, nishakaa msasani kisiwani, kukinyesha vyombo ndani vyaelea, nimeishi mwananyamala sokoni a.k.a mapinduzi, matundu full force soko lilikuwa hapo hapo kwangu

lakini nilianzia kigamboni tungi, gongo na mnazi zilikuwa kama chai na chapati . machizi wenzangu mpo?
 
How does it help you kujitambulisha hivyo? Hivi kweli bado kuna mambo ya kitoto ya kuulizana unaishi wapi, unafanya nini ukikutana na mtu usiyemfahamau au hata kama unamfahamu hana infuluence kwako?

Nafikiri hii topic haina maana na haitusaidii kitu kwa jamii, its you and your familiy.
 
Its good to ask where a person comes from or where he works so that you can know the type of person you dealin with. Its good to tell people you were from the ghetto once you become successful, its inspiring to some people.
 
It aint about where you from, but where you are going.

Its good to ask where a person comes from or where he works so that you can know the type of person you dealin with. Its good to tell people you were from the ghetto once you become successful, its inspiring to some people.

icon12.gif
????????....confusion?
 
M2 wangu mbona tupo wengi, nishakaa msasani kisiwani, kukinyesha vyombo ndani vyaelea, nimeishi mwananyamala sokoni a.k.a mapinduzi, matundu full force soko lilikuwa hapo hapo kwangu

lakini nilianzia kigamboni tungi, gongo na mnazi zilikuwa kama chai na chapati . machizi wenzangu mpo?

Na wale wa mandazi rodi na magunia-CCM msasani wapo humu??? maana tulikuwa tunaenda kucheza mechi huko
 
How does it help you kujitambulisha hivyo? Hivi kweli bado kuna mambo ya kitoto ya kuulizana unaishi wapi, unafanya nini ukikutana na mtu usiyemfahamau au hata kama unamfahamu hana infuluence kwako?

Nafikiri hii topic haina maana na haitusaidii kitu kwa jamii, its you and your familiy.

Where you come from moulds you into being who you are. Nikisema nilikotoka, nasema nimetoka mbali and I am achieving all that I am because i want my kids to have a better life. na kama hii topic haina maana, usingelichangia... ndo maana aliuliza wa uswazi wapo?' yaani those who were, are and those who are working to leave for ever.
 
How does it help you kujitambulisha hivyo? Hivi kweli bado kuna mambo ya kitoto ya kuulizana unaishi wapi, unafanya nini ukikutana na mtu usiyemfahamau au hata kama unamfahamu hana infuluence kwako?

Nafikiri hii topic haina maana na haitusaidii kitu kwa jamii, its you and your familiy.

...."To Know Our Way Forward, We Should Know The Path We came from"...!
 
GT madrasa ulisomea wapi? mie nilikuwa pale kwa maalim Shaban magomeni kagera....
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom