Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
Humu kila kona utasikia sijui mie nimekaa Masaki sijui nimesoma Shebby...nadhani its about time sisi watu wa Uswazi tukajibu..mimi nadhani hii iwe yetu sisi watu wa Uswazi tukapeana nyeti tena kwa lugha zetu ambazo watoto wa kishua hawawezi kustukia au mnasemaje mivinje ?
Anyway mimi kila chimbo nishakaa Temeke mwisho, Tandika mabatini, Tandika magorofani,Manayamala Kisiwani, Migomigo zote, ilala ndio usisikie maana nilikuwa nafunga kule striti na magorofani kwa akina Ngabu, Buguruni ndio usisikie maana kuanzia Bungoni Mpka kwa Mnyamani ndio kwangu na chai of course nilikuwa napata pale nje ya kito cha daladala mbele ya shule ya msingi buguruni, naam na maulidi za mfungo sito nilikuwa skosekani pale uwanja wa magunia kabla wale wahuni hawajenga ubalozi wao
haya leteni stori watoto wa uswazi