Wa Ukweli - No Make Ups

Beware....joto likiwa kali sana "mndoco" inaweza kupasuka, au liwalo na liwe??
Mkuu Tisha-Toto ndiyo maana nikauliza ili nipate kujua kabisa kabla ya liwalo na liwe. Hahahahahahaaaa
 
We tizama vizuri hiyo pic utapata tu idea sehemu joto hilo linapatikana
Mwalimu wangu wa Biology alinifundisha kiungo cha binadamu kinachozalisha joto la mwili ni Ini. Sidhani kama ini linaonekana hapo.
 
Hakunanga kitu kinavutia kama bantu finger asa huyo hata nyama hana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…