Wa tz wengi lakini sio wote

Wa tz wengi lakini sio wote

AK47 TRIGER

Member
Joined
Feb 27, 2013
Posts
57
Reaction score
9
Watized wengi wanafikiria slow
Kama internet ya tigo

Wasomi hamna ..........
Wazazi wanabaki kuwaambia watoto technology inamagonjwa
Computer in virus eti inauwa


Serikali inaongeza division 6 kiholela holela

Kama sahivi kiswahili kimeishiwa maneno
Na serikali imekaa tu
JavaScript imezidi kiswahili

Nashindwa kuendelea maneno yamiishia


No offensive

Husika na kichwa cha habari
):beer:🙂
 
Mmh naona hatuko pamoja au labda ni hangover zangu..? Sijaelewa lolote kwakweli
 
Back
Top Bottom