wa tz bwana ni shiiiiiiida

wa tz bwana ni shiiiiiiida

ajua

Senior Member
Joined
Aug 25, 2015
Posts
103
Reaction score
10
mtu mmoja alikuwa ni masikini saaaaana maisha yake yalikuwa ni kuombaomba basi alipofika getini kwa mfalme akagonga lile geti mgalme akafungua akauliza we maskini unatafuta nini ombaomba akajibu nimekuja kuomba msaada ikabidi mfalme ampe kikapu kilicho jaa uchafu tena kimefunikwa vizuri sana yule ombaomba akafurahi sana alipo fika kwake na kufungu alisikitika sana kukutana na ule msaada alio pewa na yule mfalme lakini yeye aloamua kuosha vizuri lile kapu na kujaza maua mazuri kadri ya uwezo wake je nani kati ya hao wawili alionyesha upendo?tusiwe kama ombaomba kurudisha maua kwa serikali hii inayosababisha tuombeombe
 
Hahaha hi inamfaa Dr slaa asome hapa kabla hajatoa maamuzi. Nimekapenda haka kajistory!
 
mtu mmoja alikuwa ni masikini saaaaana maisha yake yalikuwa ni kuombaomba basi alipofika getini kwa mfalme akagonga lile geti mgalme akafungua akauliza we maskini unatafuta nini ombaomba akajibu nimekuja kuomba msaada ikabidi mfalme ampe kikapu kilicho jaa uchafu tena kimefunikwa vizuri sana yule ombaomba akafurahi sana alipo fika kwake na kufungu alisikitika sana kukutana na ule msaada alio pewa na yule mfalme lakini yeye aloamua kuosha vizuri lile kapu na kujaza maua mazuri kadri ya uwezo wake je nani kati ya hao wawili alionyesha upendo?tusiwe kama ombaomba kurudisha maua kwa serikali hii inayosababisha tuombeombe

Hadithi nzuri illiyojaa hekima lakini heading ni ya hovyo...kama taifa tunapita kipindi cha mpito kipindi cha kutaka kuundoa mfumo uliotujaza woga na kutufikisha hapa tulipo ni wazi mengi yatatokea kipindi hiki hivyo watanzania si shida
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom