Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,227
- 1,389
Huyo mamuya si mchaga ? Kweli watu wakaskazini wako juu mpaka UsA!
- Anagombea kuwa kiongozi wa Jumuiya ya Wa-Tanzania DC Washington, hope umenielewa!
William.
Jamani, uchaguzi umeshamalizika na Idd Saddaly amepata kura za kishindo, zaidi ya 50%. Wana D.C. tunaserebuka ingawa ubalozi wetu umesikitika Loveness Mamuya hakupata ushindi. Wamejaribu kufanya njama achukuliwe angalau kama naibu katibu mkuu, ili awemo awemo kwenye nafasi ya uongozi wa jumuiya mpya lakini imeshindikana. Mimi huwa sipendi personal attacks lakini nilivyosikia ni kwamba huyu mama alikuwa anataka kujenga CV yake ili hatimaye achukuliwe kama mbunge wa viti maalumu chini ya CCM. Jumuiya yetu ni mpya, itakuwa na matatizo mengi na tunahitaji mtu ambaye atakuwa dedicated kwa jumuiya na si kuitumia kama jukwaa la kujipeleka mbele. Wale wanaomsifia Bi. Mamuya kwamba ni mchumi na msomi kwa kweli hawamfahamu huyu mama. Sitaki kuingilia personal lakini kwa kifupi ni kwamba jumuiya yetu isitumiwe kama stepping stone. Nimefurahi sana kupiga kura na nina matumaini makubwa kwa jumuiya yetu mpya.
- I know nimebebwa bebwa kuishi baharini miaka 6, nimebebwa bebwa kwenda kazini New york Saa nane za usiku kila siku na kufanya kazi masaa 15 kila siku nilikuwa ninabebwa bebwa tu huko, saafi sana!
- Let me say una hoja kwamba tuachie mambo yetu, then it is time to close JF maana hayatuhusu tuwaachie wanasiasa, hivi kabla ya ku-post hapa huwa mnapitia kuangalia unayosema au? ha! ha! ha! ha!
By the way mchagueni Loveness Mamuya, if you know what I mean!
William

Mimi nimeshaanza. Tupange siku wiki hii tusherehekee kufufuliwa kwa jumuiya yetu.Mkuu wangu lini tunavunja mvinyo wa sherehe??
Sauti yako imesikika na haya hapa ndio matokeo ya uchaguzi wa dc, huyu mwehu Malecela hoi.
Endorsed by Mzee Mwanakijiji.
Ila namkubali hapa alipomu -endorse Mamuya, kwani unlike watu waliomu-endorse yeye, ametoa sababu!
DC!!! vote for Idd!!
Naanza kuhisi harufu ya mtu kuukosa ubunge wa EA hapa. Dalili ya mvua ni mawingu, alitaka kupandikiza gamba wazee wa DC wameshtuka na kulitupilia mbali. Hizi ni nyakati za kila mtu kutumia utashi wake kuchagua na sio nyakati za kuambiwa umchague nani, ebooooo.Sauti yako imesikika na haya hapa ndio matokeo ya uchaguzi wa dc, huyu mwehu Malecela hoi.
Omby Nyongole
WE DESERVE BETTER~ IDDY SANDALY WON AS A NEW PRESIDENT OF DMV TANZANIA COMMUNITY AND AMOS CHEREHANI AS HIS SECRETARY. GOD BLESS DMV...LETS MAKE CHANGES...))))
- well, tunaheshimu matokeo hope atajipanga vyema next time, demokrasia imechukua mkondo na saafi sana!
Willie!
Jamani, uchaguzi umeshamalizika na Idd Saddaly amepata kura za kishindo, zaidi ya 50%. Wana D.C. tunaserebuka ingawa ubalozi wetu umesikitika Loveness Mamuya hakupata ushindi. Wamejaribu kufanya njama achukuliwe angalau kama naibu katibu mkuu, ili awemo awemo kwenye nafasi ya uongozi wa jumuiya mpya lakini imeshindikana. Mimi huwa sipendi personal attacks lakini nilivyosikia ni kwamba huyu mama alikuwa anataka kujenga CV yake ili hatimaye achukuliwe kama mbunge wa viti maalumu chini ya CCM. Jumuiya yetu ni mpya, itakuwa na matatizo mengi na tunahitaji mtu ambaye atakuwa dedicated kwa jumuiya na si kuitumia kama jukwaa la kujipeleka mbele. Wale wanaomsifia Bi. Mamuya kwamba ni mchumi na msomi kwa kweli hawamfahamu huyu mama. Sitaki kuingilia personal lakini kwa kifupi ni kwamba jumuiya yetu isitumiwe kama stepping stone. Nimefurahi sana kupiga kura na nina matumaini makubwa kwa jumuiya yetu mpya.
Mimi nimeshaanza. Tupange siku wiki hii tusherehekee kufufuliwa kwa jumuiya yetu.
- I know nimebebwa bebwa kuishi baharini miaka 6, nimebebwa bebwa kwenda kazini New york Saa nane za usiku kila siku na kufanya kazi masaa 15 kila siku nilikuwa ninabebwa bebwa tu huko, saafi sana!
- Let me say una hoja kwamba tuachie mambo yetu, then it is time to close JF maana hayatuhusu tuwaachie wanasiasa, hivi kabla ya ku-post hapa huwa mnapitia kuangalia unayosema au? ha! ha! ha! ha!
By the way mchagueni Loveness Mamuya, if you know what I mean!
William
- Pamoja na kwamba nipo kwenye Marathon za Ubunge wa EAC huku Dodoma, nimekuwa ninaufuatilia sana uchaguzi wa Jumuiya ya Wa-Tanzania DC Washington, lakini baada ya kufuatilia sana uwezo wa wagombea, ninasema kwamba;
Ninawaomba wananchi huko DC kumchagua Sister Loveness Mamuya, anaonekana kuwa na uwezo mkubwa sana kuliko wengine wote wanaogombea, hasa kutokana na maendeleo yake binafsi aliyoyapata huko toka afike huko DC, ni mpenda watu amewasidia wananchi wengi huko, halafu ni msomi pia na anajua sana mambo ya uchumi ndio maana ameweza kujiletea maendeleo makubwa binafsi, sasa mpeni nafasi aendeleze na kwa wengine, maana charity starts at home.
- Again, MUNGU AIBARIKI TANZANIA NA WATANZANIA WOTE HUKO DC; MCHAGUENI LOVENESS MAMUYA!
William @Dodoma City!