Wa-Tanzania DC Mchagueni Mamuya!

huyu jamaa anahangaika sana baba yake alikuwa anaitwa bkatapila akapigwa chini kimizengwe kule mtera,leo yeye hajafikia kuwa hata toyo kwa sababu kibajaji aka matusi yupo anahangaikia ubunge wa ea ngoja aone ccm watakavyomchinjia majini.
 
Ndo wamekutuma ufanye kazi hii sio, tunajua huyo ni kibaraka wa JK, so ni wazi baada ya ww kubebwa ndo kazi umepewa...!! Hatudanganyiki....

- Pamoja na kwamba nipo kwenye Marathon za Ubunge wa EAC huku Dodoma, nimekuwa ninaufuatilia sana uchaguzi wa Jumuiya ya Wa-Tanzania DC Washington, lakini baada ya kufuatilia sana uwezo wa wagombea, ninasema kwamba;

Ninawaomba wananchi huko DC kumchagua Sister Loveness Mamuya, anaonekana kuwa na uwezo mkubwa sana kuliko wengine wote wanaogombea, hasa kutokana na maendeleo yake binafsi aliyoyapata huko toka afike huko DC, ni mpenda watu amewasidia wananchi wengi huko, halafu ni msomi pia na anajua sana mambo ya uchumi ndio maana ameweza kujiletea maendeleo makubwa binafsi, sasa mpeni nafasi aendeleze na kwa wengine, maana charity starts at home.

- Again, MUNGU AIBARIKI TANZANIA NA WATANZANIA WOTE HUKO DC; MCHAGUENI LOVENESS MAMUYA!

William @Dodoma City!
 
- Anagombea kuwa kiongozi wa Jumuiya ya Wa-Tanzania DC Washington, hope umenielewa!

William.

Kaka hiyo jumuiya inatambulika kikatiba, katiba mbovu ya tanzania au ya zanzibar? enewei malengo ya hiyo jumuiya ni nini? we are warching you closely. cause we cant afford to be lead by tanzanian from diaspora. tunaona wanavyohangaika waliberia. futeni hilo lisyndicate lenu.
 
- Pamoja na kwamba nipo kwenye Marathon za Ubunge wa EAC huku Dodoma, nimekuwa ninaufuatilia sana uchaguzi wa Jumuiya ya Wa-Tanzania DC Washington, lakini baada ya kufuatilia sana uwezo wa wagombea, ninasema kwamba;

Ninawaomba wananchi huko DC kumchagua Sister Loveness Mamuya, anaonekana kuwa na uwezo mkubwa sana kuliko wengine wote wanaogombea, hasa kutokana na maendeleo yake binafsi aliyoyapata huko toka afike huko DC, ni mpenda watu amewasidia wananchi wengi huko, halafu ni msomi pia na anajua sana mambo ya uchumi ndio maana ameweza kujiletea maendeleo makubwa binafsi, sasa mpeni nafasi aendeleze na kwa wengine, maana charity starts at home.

- Again, MUNGU AIBARIKI TANZANIA NA WATANZANIA WOTE HUKO DC; MCHAGUENI LOVENESS MAMUYA!

William @Dodoma City!
William,
Asante kunitoa msituni. Napiga kura leo, naishi ujirani na Washington D.C. Lakini hatutaki kuchaguliwa watu wanaojulikana kuwa na uhusiano wa karibu na CCM. Hii si jumuiya ya wana CCM. Ni jumuiya ya Watanzania wote. Simpigii kura Mamuya!
 
Ole wake Tanzania Tusipoisaidia!
Niwezalo nimefanya:
Kushauri na kuonya. Nimeonya:
Tahadhari! Nimetoa ushauri:
Nimeshatoka kitini;
Zaidi nifanye nini Namlilia Jalia Atumulikie njia;
Tanzania ailinde, Waovu wasiivunde.
Nasitumsaidie Yote tusiyamwachie!
Amina, tena Amina! Amina tena na tena!
 
- Pamoja na kwamba nipo kwenye Marathon za Ubunge wa EAC huku Dodoma, nimekuwa ninaufuatilia sana uchaguzi wa Jumuiya ya Wa-Tanzania DC Washington, lakini baada ya kufuatilia sana uwezo wa wagombea, ninasema kwamba;

Ninawaomba wananchi huko DC kumchagua Sister Loveness Mamuya, anaonekana kuwa na uwezo mkubwa sana kuliko wengine wote wanaogombea, hasa kutokana na maendeleo yake binafsi aliyoyapata huko toka afike huko DC, ni mpenda watu amewasidia wananchi wengi huko, halafu ni msomi pia na anajua sana mambo ya uchumi ndio maana ameweza kujiletea maendeleo makubwa binafsi, sasa mpeni nafasi aendeleze na kwa wengine, maana charity starts at home.

- Again, MUNGU AIBARIKI TANZANIA NA WATANZANIA WOTE HUKO DC; MCHAGUENI LOVENESS MAMUYA!

William @Dodoma City!

atainua uchumi wa marekani!!

naona umeangalia maendeleo yake binafsi, what if amerithishwa au ana uhusiano na Balali?? .......@#$%#@!

Mkuu kukufunda kote huku bado unachemka tu!

CCM kweli matope kumfikisha huyu jamaa hapo alipo kweli CCM ni jumba la Sanaa!!
 
Willy nina hakika huenda hujui sifa za wagombea wengine, ndio maana sitapingana na maoni yako. Lakini kwa hakika Mpinzani wa Mamuya ana sifa zaidi ya uongozi. Jaribu kufuatilia. Lakini nina wasiwasi kwa sababu ni mwana CCM mwenzio ndio maana unampigia Chapuo ashinde.
 
William,
Asante kunitoa msituni. Napiga kura leo, naishi ujirani na Washington D.C. Lakini hatutaki kuchaguliwa watu wanaojulikana kuwa na uhusiano wa karibu na CCM. Hii si jumuiya ya wana CCM. Ni jumuiya ya Watanzania wote. Simpigii kura Mamuya!

umeambiwa lazima umpigie,.. lazima ole wako usipofanya hivyo ....

eti ana maendeleo binafsi!! siku hizi anapendeza, anachana nywele, sita kwa sita yuko smart..she is loving and care she can massage you! msomi kasomea uchumi, hivyo atawasaidia shughuli zenu za uchumi....kuweka akiba benki, fixed deposit na kufile tax return

atawashauri sio kushinda Tim Horton na Subway..ila mnunue chakula Food Basics na kujipikia!! nyie wengine sio wachumi ndio maana kila wakati mna matatizo tu!!

The guy simply is dull
 
This is one of the evidence that you are and at the time remain an Allien in this country's politics. It will be a disaster and poor judgement in the part of the voters if you will be elected. This is no hate brother but a fact.
 
contradiction na double standards. mbona malecela ni ccm lakini anakampeniwa humu?

Kookolikoo,
Hakuna anaempigia kampeni William Malecela hapa JF. Ni yeye mwenyewe anajikombakomba tu jamvini na anatumia baadhi ya wanamagamba kumpigia support hapa. Kwa kifupi yeye tayari ni loser kwenye huu uchaguazi wa EAC. Kitakachomuokoa ni jina la Baba!
 
Atainua uchumi wa marekani! Naona umeangalia maendeleo yake binafsi, what if amerithishwa au ana uhusiano na Balali? Mkuu kukufunda kote huku bado unachemka tu! CCM kweli matope kumfikisha huyu jamaa hapo alipo kweli CCM ni jumba la Sanaa!!

Mkuu Waberoya,
Heshima mbele Kamanda! Ndiyo maana nimekuwa nikisisitiza William Malecela hafai hata kuwa Mwenyekiti wa Kitongoji!

jaribuni kumwelewa willy, ukweli ameeleza kuwa habebwi!huwezi kumlinganisha na akina ridhiwani au fredy lowassa ambao wao na baba zao ni kama samaki na maji, bila lowasaa fredy ni kama umeibua samaki ukaiweka kwenye mavumbi. huyu anajaribu sana ku-act utanganyika! kukaa kwake Dc na kuwa ni mtoto wa malecela msimhukumu vibaya. NAPENDA YEYE KWA KUTAMBUA FILOSOFIA YA VIJANA YA "TAIFA KWANZA CHAMA BAADAYE" NINA USHAURI PIA WILLY ISIJE IKAWA AKINA MAMUYA NI WALE WANAOPENDA KUPATA MADARAKA ILI KUVIZIA AKINA JK WAKIENDA DC WAJIKOMBE. AWEKE MBELE MASLAHI YA WATANZANIA, NA AWAUNGANISHE KITAIFA, HATUTAKI KUSIKIA KUWA ETI ANAFUNGUA MATAWI YA CCM HUKO WASHINGTON DC, AFUNGUE VITUO VYA UTALII WA TZ, BIASHARA NK
 
Mimi ni mbunge mtarajiwa wa jimbo la Mtera, muulize Livingstone Lusinde akuambie....anahaha hajui afanye nini...presha inapanda, presha inashuka!!
 
Kookolikoo,
Hakuna anaempigia kampeni William Malecela hapa JF. Ni yeye mwenyewe anajikombakomba tu jamvini na anatumia baadhi ya wanamagamba kumpigia support hapa. Kwa kifupi yeye tayari ni loser kwenye huu uchaguazi wa EAC. Kitakachomuokoa ni jina la Baba!
Endorsed by Mzee Mwanakijiji.
Ila namkubali hapa alipomu -endorse Mamuya, kwani unlike watu waliomu-endorse yeye, ametoa sababu!
DC!!! vote for Idd!!
 
Jaribuni kumwelewa Willy, ukweli ameeleza kuwa habebwi! Huwezi kumlinganisha na akina Ridhiwani au Fredy Lowassa ambao wao na baba zao ni kama samaki na maji, bila Lowasaa, Fredy ni kama umeibua samaki ukaiweka kwenye mavumbi.

Mwikimbi,
Swala la William kubebwa liko wazi kabisa. Emu jiulize kati ya James Ole Millya na William Malecela ni nani ambae alifaa kukatwa jina? Millya (Ingawa nae hatumpendi kwa sababu ni Gamba) kaifanyia CCM mambo mengi akiwa ndani ya UVCCM. Kwa mantiki hiyo ana rekodi ya kiutendaji ndani ya CCM. Huyu William kakaa Marekani miaka chungu tele. Karudi mwezi uliopita kachukua fomu kapitishwa. Je hakuna kubebwa hapo? Kama William asingekuwa na Sirname ya Malecela naamini hata fomu ya kugombea Ubunge wa EAC asingechukua.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom