Bukanga
JF-Expert Member
- Dec 13, 2010
- 2,857
- 1,936
Unamsifia Idd kwa uwezo wake au kwa Dini yake??
U-msomi ila hueleweki wala hutabiriki.
Hongera Idd, you deserve it!!
U-msomi ila hueleweki wala hutabiriki.
Hongera Idd, you deserve it!!
Hongera sana Iddi kupata wadhifa huo, pasi na shaka wana Silver spring walikuamini sana na wewe usiwa angushe. Hongera sana.
Tunaomba mtupe nani wateule wengine kama katibu, mwekahazina na wengine ili tuweze kuwafahamu na kwa faida ya wote. Lakin vile vile tutatenda haki kama tutapata majina ya wagombea wote na kura walizobahatika na kujaaliwa kupata katika uchaguzi huo.
Nitakupongeza Mwisho wa mwezi huu insh'Allah nikija hapo Richmond.