Wa siku hizi hawajifichi kabisa

Mweee....zamani wakubwa tu ndo tulikuwa tunafaidi siku hiz hadi vitoto vinafaidi
 
Mkuu hiyo ni zao la utandawazi. Wakwetu wakishaona kwenye luninga vijana wenzao wapo busy na mabusu hadharani wanadhani ndio inatakiwa iwe hivyo. Kwa vile akili zingine ni kama dodoki (hazichuji) basi ni kwenye vituo vya mabasi au mabustani unawakuta "bize", huu ni msiba Mkuu mshana jr, hakuna mzazi atafurahi kumkuta binti/kijana wake yupo kwenye shughuli za hivyo kando na kituo cha mabasi.
 
Last edited by a moderator:
Wenye wa kike roho inauma, mwenye wa kiume anasema toto langu limekuwa dume. Zamani walikuwa na namna tofauti watu wazima wakienda kisimani alfajiri na kutuma mabnti jioni. Wakubwa walikuwa wakipeleleza wasiposikia fununu wanalamika wakiuliza hivi mtoto wa kiume ni mzima mbona sipati kesi za wattoto wa kike. Akisikia kesi anamfingia mtoto wa kike ndani ili posa ije.
 

Utandawazi umebadili yote hayo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…