poorbillionaire JF-Expert Member Mar 4, 2014 424 237 Mar 14, 2014 #2,381 Kwani we hukusoma kiswahili ulipokuwa secondary?
poorbillionaire JF-Expert Member Mar 4, 2014 424 237 Mar 15, 2014 #2,384 koplo said: secondari gani inaanzia herufi q Click to expand... Q ni herufi isiyotumika sana kwenye lugha ya taifa hili
koplo said: secondari gani inaanzia herufi q Click to expand... Q ni herufi isiyotumika sana kwenye lugha ya taifa hili
amaizing JF-Expert Member May 3, 2013 3,616 12,369 Mar 15, 2014 #2,386 VP huu mchezo hauish had Leo 2014
kidaganda JF-Expert Member Aug 26, 2013 2,993 2,564 Mar 15, 2014 #2,388 2014 bado watz wanategemea wana siasa kuleta mabadiliko
kijani11 JF-Expert Member Jan 19, 2014 7,634 7,413 Mar 15, 2014 #2,390 Mapya tutashuhudia kila kipindi kama hili la ndege kupotea.
KIDOLEGUMBA JF-Expert Member Apr 17, 2013 498 109 Mar 15, 2014 #2,391 kupotea Dsm ni rahisi sana kutokana na nyumba nyingi za zamani zimebomolewa!
kidaganda JF-Expert Member Aug 26, 2013 2,993 2,564 Mar 18, 2014 #2,392 zimebomolewa kwani zilipigwa alama X?
KIDOLEGUMBA JF-Expert Member Apr 17, 2013 498 109 Mar 18, 2014 #2,393 X ni alama ya kosa ambayo inatamba sana shule za msingi katika masomo ya hesabu na ungwini!
kidaganda JF-Expert Member Aug 26, 2013 2,993 2,564 Mar 18, 2014 #2,394 ungwini ni somo ambalo unasoma gizani hata umeme ukikatika
poorbillionaire JF-Expert Member Mar 4, 2014 424 237 Mar 19, 2014 #2,396 Kuusikia ufalme wa Mungu ni rahisi kuliko kuuona
kidaganda JF-Expert Member Aug 26, 2013 2,993 2,564 Mar 19, 2014 #2,397 kuuona ufalme wangu ni kazi ngumu sio km kupotea kwa ndege na watu 259 kweli huu ni uzembe
SAYANSIKIMU JF-Expert Member Feb 27, 2014 1,132 260 Mar 19, 2014 #2,398 uzembe!! umejuaje kama uzembe acha kusema vitu usivyovijua.ukisema kitu ambacho huda ushahidi UTAPIGWA TU.
uzembe!! umejuaje kama uzembe acha kusema vitu usivyovijua.ukisema kitu ambacho huda ushahidi UTAPIGWA TU.
poorbillionaire JF-Expert Member Mar 4, 2014 424 237 Mar 19, 2014 #2,399 Tu! Eti ntapigwa tu, ntapigwa na nani we sayansikimu?
Nelson nely JF-Expert Member Jan 25, 2014 4,256 2,862 Mar 19, 2014 #2,400 Mbona mnahangaika?zawadi nishachukua