TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 23,944
- 23,180
Kielezi cha kuwa mi ndio mshindi wa leo nalog off.
Off target...Nape! Alidhani wakileta madai anamiliki kadi ya chama chao na kulipia, basi watakuwa wamemliza kisiasa
Kielezi cha kuwa mi ndio mshindi wa leo nalog off.
Off wapi wakati na mi ndo nimetia nanga wewe acha hizo.we wala so mshindi wa leo.
Maisha ni vile unavyoyatengeneza,je umeyatengeneza vipi?
vipi kuhusu hii thread mbona haiishi?
Haishi kwasababu mshindi ajapatikana
hajapatikana wa kumshauri JK
mawazo ni tajiri,yupo gonja mpirani.
Kielezi cha kuwa mi ndio mshindi wa leo nalog off.
Wazalendo ni msamiat unaotambulisha watu wenye uchungu na nchi yao