Wa mwisho ndiyo mshindi

hatuhesabiwi kwa sababu wanataka kujua kama nina pasi, jiko, rediio, kitanda, n.k
 
naipenda ccm maana fweza zipo njenje! kwa wizi kwa kukaba kwa kupora ilimradi iwe pesa
 
sifuri ndio mwanzo wa namba ila sasa gemu limevamiwa na vilaza wanaoharibu sequence hivyo mshindi atakuwa wa kuchakachuliwa tu hapa
 
hapa hakuna kufuata mtiririko maana muanzisha uzi hajatoa facts za kumdisqualify memba from ze game,hajasema itaisha mwaka gani?au atatambuaje mshndi so nadhani wadau wanatumia ule msemo,if u cant make them undestand ,confuse them.na wanachofanya sasa ni kwamba kila m2 anamchanganya mwenzake ili awe wa mwisho
 
Mwisho wa lami, yombo buza mpaka tandika magorofani, kipitia kwa gude.
 
Back
Top Bottom