Zombie S2KIZZY
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 823
- 1,613
Ameshawasili kumuona chawa wa mamaNdani ya huu mjengo ameshawasili
Ameshawasili kumuona chawa wa mamaNdani ya huu mjengo ameshawasili
Mama wa kambo kwanini wana tabia za kuwatesa watoto wa wenzao?Ameshawasili kumuona chawa wa mama
Wenzao hawajui kwamba watoto wao wanateswaMama wa kambo kwanini wana tabia za kuwatesa watoto wa wenzao?
Wanateswa kusema ukweli na wale wasio wa kambo wanapewa malezi bora, , na mara nyingi watoto wa kambo wakikua hufanikiwaWenzao hawajui kwamba watoto wao wanateswa
Wanateswa kusema ukweli na wale wasio wa kambo wanapewa malezi bora, , na mara nyingi watoto wa kambo wakikua hufanikiwa
Namna ile huleta matokeo mazuriHufanikiwa sanaa yani hadi wanaonaga aibu kwanini waliwatesa namna ile
Matokeo mazuri ya mtoto shuleni ni furaha kwa mzaziNamna ile huleta matokeo mazuri
Mzazi bila kumzingatia mtoto matokeo mazuri ni ndoto!Matokeo mazuri ya mtoto shuleni ni furaha kwa mzazi
Ndoto za alinacha.Mzazi bila kumzingatia mtoto matokeo mazuri ni ndoto!
Nini jibu tutakalojibiwa? Hata mimi nataka kufahamishwa huyu alinacha ni naniNdoto za alinacha.
Hivi huyu alinacha ni nani au ni nini
Nani angekuwa bado anacheza Man U leo wangeshindaNini jibu tutakalojibiwa? Hata mimi nataka kufahamishwa huyu alinacha ni nani
Wangeshinda iwapo Casemiro angecheza, United nyuma walipwayaNani angekuwa bado anacheza Man U leo wangeshinda
Walipwaya kwa sababu walikua hawajatimiaWangeshinda iwapo Casemiro angecheza, United nyuma walipwaya
Hawajatimia wapi, walitimia ukweli nyuma walizidiwaWalipwaya kwa sababu walikua hawajatimia
Walizidiwa maana mzigo ulikua ni mzito sanaHawajatimia wapi, walitimia ukweli nyuma walizidiwa
Mzito Sana mzigo wa dhambiWalizidiwa maana mzigo ulikua ni mzito sana
Ipi kivipi? Dhambi dhambi tuuu😂Dhambi kubwa ni ipi?
Tuuu 😂, ukiona tu imevutwa ujue huo ni msisitizoIpi kivipi? Dhambi dhambi tuuu😂