pepsin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 3,465
- 6,109
Katulia wa nini ilhali yupo Tulia?Lenie yuko hapa katulia
Katulia wa nini ilhali yupo Tulia?Lenie yuko hapa katulia
Tulia ndio nani huyoKatulia wa nini ilhali yupo Tulia?
Huyo huyo wa kuitwa MLEVi MmojaTulia ndio nani huyo
@MLEVi Mmoja uko vizuri??Huyo huyo wa kuitwa MLEVi Mmoja
Vizuri sana@MLEVi Mmoja uko vizuri??
Sana nimemiss LenieVizuri sana
Mke wako ameosha vyombo vyote vijiko, sahani pamoja na rimote ya TV.Lenie ndio mke wako?
TV inaoshwaje bhana wewe?Mke wako ameosha vyombo vyote vijiko, sahani pamoja na rimote ya TV.
Wewe hujui tu Lenie alivyokuwa na macho mazuriTV inaoshwaje bhana wewe?
Unayafaidi sana Makongoro ya mbuziMazuri unayafaidi?
Mbuzi kafia kwa muuza supuUnayafaidi sana Makongoro ya mbuzi
Supu tunakula, Wana YangaMbuzi kafia kwa muuza supu
Supu tunakula, Wana Yanga
Supu kitu Gani? Hatari kula supu ya kongoro bila kuwa na demuWana yanga hawana ela ya Supu
Demu mzuri kwako inabidi awe vipi?Supu kitu Gani? Hatari kula supu ya kongoro bila kuwa na demu
Vipi kuhusu wewe kuwa demu wangu?Demu mzuri kwako inabidi awe vipi?
Unao huo uchangamfu na wewe? Mimi uchangamfu ninaoVipi kuhusu wewe kuwa demu wangu?
Shape nzuri na uchangamfu unao!
Ninao wimbo mzuriUnao huo uchangamfu na wewe? Mimi uchangamfu ninao