MalcolM XII
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 5,251
- 14,232
Siku hizi nakupenda Mumylove.
Love bites zikikosekana kwenye mambo ni kama sijafanya kitu vile
Siku hizi nakupenda Mumylove.
Vile vile kuachwa ni shughuli pevu.Love bites zikikosekana kwenye mambo ni kama sijafanya kitu vile
Shughuli pevu yenye kuhitaji kujitoa na umakiniVile vile kuachwa ni shughuli pevu.
Umakini ukikosekana lazima parapanda isikike...Shughuli pevu yenye kuhitaji kujitoa na umakini
Isikike mpaka kwa majiraniUmakini ukikosekana lazima parapanda isikike...
Majirani kununiana sio jambo jema.Isikike mpaka kwa majirani
Jema lisilo na faida ni sawa na baya lisilo kudhuru
Kudhuru binadamu wenzio sio kuzuriJema lisilo na faida ni sawa na baya lisilo kudhuru
Maana halisi ya neno aijuaye msemajiKudhuru ukiweka ‘z’ badala ya ‘dh’ unakuwa tayari umeshabadili maana
Maana yake sijaijua badoKudhuru ukiweka ‘z’ badala ya ‘dh’ unakuwa tayari umeshabadili maana
Bado Mshindi hajapatikanaMaana yake sijaijua bado
Hajapatikana yule mbwa aliepotea mwaka juziBado Mshindi hajapatikana
Juzi nilimuona mkuu BAK akimnunulia zawadi mama watoto wake. Anajiweka karibu naye anajua mwezi ujao akina mama wanapokea vikoba,vibubu vinavunjwa.Hajapatikana yule mbwa aliepotea mwaka juzi
Mazoea na ngosweVinavunjwa ndio na hatutaki mazoea
Ngoswe ni wewe.Mazoea na ngoswe
Ngoswe na wewe ni kitu kimojawewe ni Ngoswe
Kitu kimoja sikipendi kuhusu Ngoswe ni namna alimuharibia future mtoto wa sheikh wangu, mzee Ngengemkeni Mitomingi.Ngoswe na wewe ni kitu kimoja