HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,552
- 48,148
Kuondoka mgeni mapema huku bado ukiwa unataka aendelee kuwepo kunakosesha furahaAhahaha! unafurah mzalendo kuondoka
Kuondoka mgeni mapema huku bado ukiwa unataka aendelee kuwepo kunakosesha furahaAhahaha! unafurah mzalendo kuondoka
Furaha huwezi kukosa sababu mgeni njoo mwenyeji aponeKuondoka mgeni mapema huku bado ukiwa unataka aendelee kuwepo kunakosesha furaha
Apone Kwa maumivu ya maisha ayasikiayoFuraha huwezi kukosa sababu mgeni njoo mwenyeji apone
Ayasikiayo mlevi mengine yanastaajabishaApone Kwa maumivu ya maisha ayasikiayo
Nalog off
Yanastaajabisha Kwa kuwa mlevi hurukwa na akiliAyasikiayo mlevi mengine yanastaajabisha
Akili ni nywele kila mtu ana zakeYanastaajabisha Kwa kuwa mlevi hurukwa na akili
Nalog off
Ana zakee wapii wakatii aliazima!?Akili ni nywele kila mtu ana zake
Aliazima msaada wa wastaafu fulani fulani ndiyo maana kila kitu lazima apangiwe because yeye hana maamuziAna zakee wapii wakatii aliazima!?
Maamuzi hawezi kuyatoa sababu ya uogaAliazima msaada wa wastaafu fulani fulani ndiyo maana kila kitu lazima apangiwe because yeye hana maamuzi
Uoga hujenga hofuMaamuzi hawezi kuyatoa sababu ya uoga
Nalog off
Hofu ya nini madamu Mwenyezi Mungu yupo na ndiye mmiliki na mjuzi wa yote...Uoga hujenga hofu
Yote mnenayo yanafurahishaHofu ya nini madamu Mwenyezi Mungu yupo na ndiye mmiliki na mjuzi wa yote...
Yanafurahisha Kwa kuwa tuko hapa kufurahia maishaYote mnenayo yanafurahisha
Maisha ni mazuri sana kama ukiwa na amani ya moyo.Yanafurahisha Kwa kuwa tuko hapa kufurahia maisha
Nalog off
Amani ya Moyo unanikumbusha wimbo wa Feza KessyMaisha ni mazuri sana kama ukiwa na amani ya moyo.
Kessy yule aliekua mbunge na huyu muimbaji kwani wana undugu????Amani ya Moyo unanikumbusha wimbo wa Feza Kessy
Undugu wao unakuhusu ninKessy yule aliekua mbunge na huyu muimbaji kwani wana undugu????
Mshindi wa mashindano!Nini mm ndio mshindi
Mashindano mengi washindi huwa ni mchongoMshindi wa mashindano!