Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,697
- 15,384
Wakulima wanahitaji pembejeoZao la pamba linawatesa wakulima
Wakulima wanahitaji pembejeoZao la pamba linawatesa wakulima
Zipi tena??
Tena?? Ndiyo usikilize kwa makiniZipi tena??
Makini herbs clinic, utapata dawa za miti shambaTena?? Ndiyo usikilize kwa makini
Shule ya msingi haina madawatiShamba la miwa karibu na shule
Madawati ya shule mbao zake zinatoka RufijiShule ya msingi haina madawati
Rufiji kuna miti mingiMadawati ya shule mbao zake zinatoka Rufiji
Rufiji ndiyo wanaongoza kwa kilimo cha upandaji miti sioMadawati ya shule mbao zake zinatoka Rufiji
Sio kwamba wote wanaotabasamu wana furaha bali tabasam ni ishara ya uimara
Uimara wa nchi unategemea na mtawalaSio kwamba wote wanaotabasamu wana furaha bali tabasam ni ishara ya uimara
Mtawala wa awamu ya sita ni MamaUimara wa nchi unategemea na mtawala
Mama ni mlezi wa familiaMtawala wa awamu ya sita ni Mama
Familia ni zaidi ya Mke na MumeMama ni mlezi wa familia
Mtawala akiwa dictator uchwara wananchi wanamuombea mabaya!Uimara wa nchi unategemea na mtawala
Mume ni Nguzo katika familiaFamilia ni zaidi ya Mke na Mume
Mabaya mawazo husababisha majangaMtawala akiwa dictator uchwara wananchi wanamuombea mabaya!
Majanga katika nchi hii tumezoeaMabaya mawazo husababisha majanga