yellow eyes
JF-Expert Member
- Mar 6, 2018
- 2,882
- 3,298
Zetu akili inabidi kuzipambanua sana kwenye janga hili tunalokabiliana nalo.Zaidi ya hayo ni kupambana na hali zetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Zetu akili inabidi kuzipambanua sana kwenye janga hili tunalokabiliana nalo.Zaidi ya hayo ni kupambana na hali zetu
Nalo litaisha tu kwa uwezo wa MunguZetu akili inabidi kuzipambanua sana kwenye janga hili tunalokabiliana nalo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zote zao ila siye kwetu Mwenyezi Mungu ndiyo tegemeo!
Tegemeo la mwisho hapa duniani na hata mbinguniZote zao ila siye kwetu Mwenyezi Mungu ndiyo tegemeo!
Tegemeo la mwisho hapa duniani na hata mbinguni
Yaaah wiki ijayo naskia
Nasikia sikia manung'uniko kwa walala hoi !!Yaaah wiki ijayo naskia
Wapi ulipopoteza pochi la fedha?Hapa ni wapi
Sent using amfifiro
Fedheha ya mtu kwa wambeya ni vigeregere na sherehe !!
Sherehe ya kusheherekea sikuku ya iddi itakuwa lini?Fedheha ya mtu kwa wambeya ni vigeregere na sherehe !!
Lini iwe zaidi ya jumatatu ndugu zangu?Sherehe ya sheherekea sikuku ya iddi itakuwa lini?
Nje ya box