Aliye juu kwenye hii michano ni WEWE
Ku umeme kwaoAliye juu kwenye hii michano ni WEWE
Wote tunajua kwamba huwezi kwenda kwa mwingine, Yeye ndio yeye
Huyo Mtoto huyo...
Huyo Binti huyo...
Kwao walinzi wakali hatari hatari...
Baba Mtumishi akampigia simu huyo anamrusha stimu...
Analeta mapozi kesho wakutane Nando's...
Baba Mtumishi hakufa moyo kesho ikafika...
Nando's wakafika wakawa wanaburudika...
Bado mtoto hamuelewi Baba Mtumishi anataka kupajua kwake...
Akaone mambo yake...
Baba Mtumishi hakutaka kumficha lakini moyo unasita...
Vyote alivyomtajia kwake atavikuta?...
Au Baba Mtumishi atagonga ukuta Kachaa ataumbuka...
Haaaa wamefika home...
Baba Mtumishi akamkaribisha kwa makeke...
Karibu karibu mgeni...
Jisikie upo Nyumbani sebuleni...
Kwakua umekuja leo wewe sema nini unataka, Mama Mtumishi akajibu Chips Kuku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Aliye juu kwenye hii michano ni WEWE
Wote tunajua kwamba huwezi kwenda kwa mwingine, Yeye ndio yeye
Huyo Mtoto huyo...
Huyo Binti huyo...
Kwao walinzi wakali hatari hatari...
Baba Mtumishi akampigia simu huyo anamrusha stimu...
Analeta mapozi kesho wakutane Nando's...
Baba Mtumishi hakufa moyo kesho ikafika...
Nando's wakafika wakawa wanaburudika...
Bado Mtoto hamuelewi Baba Mtumishi anataka kupajua kwake...
Akaone mambo yake...
Baba Mtumishi hakutaka kumficha lakini moyo unasita...
Vyote alivyomtajia kwake atavikuta?...
Au Baba Mtumishi atagonga ukuta Kachaa ataumbuka...
Haaaa wamefika home...
Baba Mtumishi akamkaribisha kwa makeke...
Karibu karibu mgeni...
Jisikie upo Nyumbani sebuleni...
Kwakua umekuja leo wewe sema nini unataka, Mama Mtumishi akajibu Chips Kuku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwishoni mwa mchezo ndipo tunapoelekea, naona dalili ya mshindi kupatikanaHuku nimepotea njia. Hadi Saint Anne anacheza mapanga TMK Dunia ipo mwishoni!!
Kupatikana mshindi bado sanaMwishoni mwa mchezo ndipo tunapoelekea, naona dalili ya mshindi kupatikana
Sana mkuuKupatikana mshindi bado sana
Mkuu wa shule yupo mjiniSana mkuu
Mjini usiku awalaliMkuu wa shule yupo mjini
Awalali sio kiswahili sanifu. Ni hawalaliMjini usiku awalali
Hawalali kwasababu wanasumbuliwa na mbuAwalali sio kiswahili sanifu. Ni hawalali
Mbu alichukuliwa kwenye jahazi lá Nuhu au!? Maana anakera sanaHawalali kwasababu wanasumbuliwa na mbu
Sanasana ukanunue unyunyuMbu alichukuliwa kwenye jahazi lá Nuhu au!? Maana anakera sana
Unyunyu mwingine una sababisha mafuaSanasana ukanunue unyunyu
Mafua ya ndegeUnyunyu mwingine una sababisha mafua
Ndege tunduniMafua ya ndege
Tunduni mwa SimbaNdege tunduni
Simba sports club ni timu bora kabisa dunianiTunduni mwa Simba
Duniani wawili wawiliSimba sports club ni timu bora kabisa duniani
Wawili wawili wapendanaoDuniani wawili wawili