kimombo kilikuja kwa meli huku kwetu MadongokuinamaKiswahili kigumu mpaka bancho kaamuua kuandika kimombo
Madongokuinama ndo wapi hukokimombo kilikuja kwa meli huku kwetu Madongokuinama
Treni ni usafiri mzuri sana"Huko walipookota vichwa vya treni
sana sana ukiwa unaelekea moshi kwa wachagaTreni ni usafiri mzuri sana"
Sent from my SM-A105F using Tapatalk
Maelezo yako yamenyooka
Rula ya kupigia mstari
Kwangu kumejaa wageniNimepatia, namshukuru kila mtu kwa kupatia kwangu
Wageni ni baraka
Mungu muumba mbingu na nchi.
Nchi ya ahadi ninaitafuta sana aiseeMungu muumba mbingu na nchi.
Aisee bado ujalala tu
Tu tunakeshaga kama Cnn"Aisee bado ujalala tu
Ni nini hemu ngoja tusikilize ngwair alisemaje kwa nyimbo zakeCnn kirefu chake ni nini