Wa mwisho ndiyo mshindi

Wenyewe.. kweli hizi anga za wenyewe.. lakini hivi wambuzi unampango gani na hii thread.... daa haiishi.. au umeshajipanga kuwa mshindi?
 
tanzania bara au visiwani? wana wa UAMSHO na sakata la DUBWANA la Muungano mbona kimya wadau?
Wadau wapi wewe wakati unaharibu sequence?? We unavyoona juu yako imeanzia Tanzania?
Unatuyeyusha bana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…