vareel
Member
- Apr 19, 2018
- 26
- 79
Mtu yeyote ana haki zake kikatiba.Humu kuna mengi yapasa kuwa makini na kumwogopa kila mtu
Mtu yeyote ana haki zake kikatiba.Humu kuna mengi yapasa kuwa makini na kumwogopa kila mtu
Kikatiba wabunge 19 sio halaliMtu yeyote ana haki zake kikatiba.
Halali haijawahi kuwa haramuKikatiba wabunge 19 sio halali
Haramu haifai mbele za MunguHalali haijawahi kuwa haramu
Mungu ni muumba wa vyote.Haramu haifai mbele za Mungu
Vyote vya dunia ni ubatiliMungu ni muumba wa vyote.
Ubatili mtupuVyote vya dunia ni ubatili
Mtupu ni yule asiye stahi maumboUbatili mtupu
Maumbo ya wanawake yanavutiaMtupu ni yule asiye stahi maumbo
Yanavutia Mungu kayapendeleaMaumbo ya wanawake yanavutia
Kayapendelea kwa uwezo wake
Wake kwa waume wanatakiwa kwenda kwenye kikaoKayapendelea kwa uwezo wake
Kikao kuhusu kuozwa kwa huyu bintiWake kwa waume wanatakiwa kwenda kwenye kikao
Kikao kipi tena jamani?Wake kwa waume wanatakiwa kwenda kwenye kikao
Binti yule nimempenda sana.Kikao kuhusu kuozwa kwa huyu binti
Jamani so tulikubaliana uje ulipe mahariKikao kipi tena jamani?
Sana fanya hima uweke ndaniBinti yule nimempenda sana.
Mahari imepelea, jiko niwaachie wenye nazoJamani so tulikubaliana uje ulipe mahari
Nazo kuzipata kwake ni shida mnoMahari imepelea, jiko niwaachie wenye nazo
Mno hilo halina ubishiNazo kuzipata kwake ni shida mno