Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,697
- 15,383
Upendo wa Mungu hauna kikomoWengi wamepanda, wengi wameshuka, tuishi kwa upendo
Upendo wa Mungu hauna kikomoWengi wamepanda, wengi wameshuka, tuishi kwa upendo
Tena hujaelewa basi rudi shuleUpendo upi tena
Shule ya msingi Mapambano nitaikumbuka daima mileleTena hujaelewa basi rudi shule
Milele haina mwishoShule ya msingi Mapambano nitaikumbuka daima milele
Nalog off
Mwisho wa ubaya ni aibuMilele haina mwisho
Aibu ya kaburi aijua maitiMwisho wa ubaya ni aibu
Nalog off
Maiti nayo ina hisiaAibu ya kaburi aijua maiti
Hisia za wananchi zinaashiria mengiMaiti nayo ina hisia
Nalog off
Mengi nimepitia ila leo malária inanipelekesha ile mbaya,ngoja nilale kidogoHisia za wananchi zinaashiria mengi
Kidogo ulichonacho chaweza zalisha kikubwaMengi nimepitia ila leo malária inanipelekesha ile mbaya,ngoja nilale kidogo
Nalog off
Kikubwa ni chako gawana na wenzakoKidogo ulichonacho chaweza zalisha kikubwa
Wenzako wamefanikiwa wewe unashangaaKikubwa ni chako gawana na wenzako
Unashangaa kula bila kunawa piga ivo ivoWenzako wamefanikiwa wewe unashangaa
Ivo alivyosema ndio sheria inavyotakaUnashangaa kula bila kunawa piga ivo ivo
Inavyotaka wap wakati wanapindisha kwa manufaa yaoIvo alivyosema ndio sheria inavyotaka
yao pia imeharibikaInavyotaka wap wakati wanapindisha kwa manufaa yao
Imeharibika wanzuki yangu niliyoificha jikoniyao pia imeharibika
Jikoni kunapikwa pilauImeharibika wanzuki yangu niliyoificha jikoni
Nalog off
Pilau la kikubwa ndio tamuJikoni kunapikwa pilau
Tamu ni muendelezo wa utamuPilau la kikubwa ndio tamu
Nalog off