Nibiru X
JF-Expert Member
- Jun 30, 2019
- 410
- 369
Fisadi ni MTU anayekula rushwa na kuhujumu uchumi wa taifa kwa ujumlakulima ukilima kisasa lzm uwe tajiri halafu wavivu watakuita fisadi
Nalog off
Fisadi ni MTU anayekula rushwa na kuhujumu uchumi wa taifa kwa ujumlakulima ukilima kisasa lzm uwe tajiri halafu wavivu watakuita fisadi
Nalog off
Ujumla wa mafisadi ni adui wa Uchumi...Fisadi ni MTU anayekula rushwa na kuhujumu uchumi wa taifa kwa ujumla
Uchumi wa Tanzania unadorora lkn wanatudanganya unakua kwa kasiUjumla wa mafisadi ni adui wa Uchumi...
Mbugu za NYANYA highbridge aina gani mnazo
Mnazo hela za kununua watu wa kuwaunga mkono kwenye uchaguzi wa 2020?Mbugu za NYANYA highbridge aina gani mnazo
Off side?Mnazo hela za kununua watu wa kuwaunga mkono kwenye uchaguzi wa 2020?
Nalog off
SIDE A and SIDE B 😂😂😂😂 miaka hiyo niko na biki yangu nazungusha kama feni kutafuta "Kala Yi Boeing"... Kama umenielewa lakiniOff side?
lakini sio lazima tukueleweSIDE A and SIDE B miaka hiyo niko na biki yangu nazungusha kama feni kutafuta "Kala Yi Boeing"... Kama umenielewa lakini
Tukuelewe ili iwejelakini sio lazima tukuelewe
Iweje Tanzania ifungwe na Burundi siku ya MechiTukuelewe ili iweje
Mechi za ugenini haswa timu pinzani ikiwa na haraka huwa zinakuwa tamu balaaIweje Tanzania ifungwe na Burundi siku ya Mechi
hazioni ck zake kwa kuwa tayari kitu kimeingiaBalaa ni pale imeishiwa pesa harafu mwenye nyumba anakudai na demu wako anakuambia siku zake hazioni
Kimeingia Tumbonihazioni ck zake kwa kuwa tayari kitu kimeingia
Tumboni mwa mwanadamu pangekuwa na koki basi wale magoigoi wenzangu tusingesulubika sana na kazi maana kodi na mavazi siyo ishu kama chakulaKimeingia Tumboni
Chakula kizuri akipika MkeoTumboni mwa mwanadamu pangekuwa na koki basi wale magoigoi wenzangu tusingesulubika sana na kazi maana kodi na mavazi siyo ishu kama chakula
Mkeo akisafiri/kuumwa,kuna mambo lazima yakuwie mazito.Chakula kizuri akipika Mkeo
Mazito lazima yakukumbe pale unapotaka kushindana na shida za "madada" wa Kinondoni wakati kipato chako cha mwezi ni cha mshahara wa TGS D1Mkeo akisafiri/kuumwa,kuna mambo lazima yakuwie mazito.
D1 ni sawa na grade 1Mazito lazima yakukumbe pale unapotaka kushindana na shida za "madada" wa Kinondoni wakati kipato chako cha mwezi ni cha mshahara wa TGS D1