Mbunye huwasidia madaktari kufikiriaMadaktar weng wanapenda mbunye
Mbunye huwasidia madaktari kufikiriaMadaktar weng wanapenda mbunye
Kufikiria ni jambo ambalo kila mtu hulifanya nami nafikiria kuchukua form ili nigombanie urais kwa ticket ya ccm,iwe mvua iwe jua.Mbunye huwasidia madaktari kufikiria
Just lipo kisogoni bila mwamvuli utaumbuka..!!Kufikiria ni jambo ambalo kila mtu hulifanya nami nafikiria kuchukua form ili nigombanie urais kwa ticket ya ccm,iwe mvua iwe jua.
Nalog off
Utaumbuka kwa kuundiwa zengweJust lipo kisogoni bila mwamvuli utaumbuka..!!
Zengwe kubwa linapangwa ili kinyang'anyiro cha ubunge na urais 2020 ndani ya ccm uvunje historia ya nchi hii.Utaumbuka kwa kuundiwa zengwe
Nchi hii ya Tanzania ndiyo iliyopigania Uhuru kwa nchi nyingi za Afrika nyeusi....Zengwe kubwa linapangwa ili kinyang'anyiro cha ubunge na urais 2020 ndani ya ccm uvunje historia ya nchi hii.
Nalog off
Nyeusi tiiNchi hii ya Tanzania ndiyo iliyopigania Uhuru kwa nchi nyingi za Afrika nyeusi....
Tii wazazi wako pia tii mamlaka kwa kuwa wana uwezo wa kukuua.Nyeusi tii
Off white ni sendo qali sana.Tii wazazi wako pia tii mamlaka kwa kuwa wana uwezo wa kukuua.
Nalog off
Sana ila sijawahi vitumia nasikia tu vikisifiwaOff white ni sendo qali sana.
Vikisifiwa visiwa vya ComoroSana ila sijawahi vitumia nasikia tu vikisifiwa
Comoro no kisiwa kilicho poromoka kutoka Mwezini !!Vikisifiwa visiwa vya Comoro
Mwezini hivi kuna kiumbe kishawahi kufika huko au kiko kiumbe kinaishi huko?Comoro no kisiwa kilicho poromoka kutoka Mwezini !!
Huko nendeni tu. Mimi najibatiza kama mshindi sasa!Mwezini hivi kuna kiumbe kishawahi kufika huko au kiko kiumbe kinaishi huko?
Nalog off
Sasa unajibatizaje kama mshindi wakati wewe siyo wa mwisho?Huko nendeni tu. Mimi najibatiza kama mshindi sasa!
Mwisho wa hii kitu haufiki leo bhana. Let the saga go on.. I give up! 😂Sasa unajibatizaje kama mshindi wakati wewe siyo wa mwisho?
Up in smoke tour ni bonge la show la magwiji wa hip hop duniani,nimewakubali.Mwisho wa hii kitu haufiki leo bhana. Let the saga go on.. I give up! 😂
Mwisho wa hii kitu haufiki leo bhana. Let the saga go on.. I give up!
Give up ... I declare myself the winner!
winner it's me and thread is closedGive up ... I declare myself the winner!