The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,442
- 10,233
Aliyekutangulia ndy anaweka ladha kwa anayefata kujibuUelekeo ni kuanza na neno lililoishia kwenye sentensi ya aliyekutangulia
Aliyekutangulia ndy anaweka ladha kwa anayefata kujibuUelekeo ni kuanza na neno lililoishia kwenye sentensi ya aliyekutangulia
Utajiri wa jasho unachukua muda kwao dat y they choose shortcut waysUtajiri Mzuri ni ule wa kuutafuta kwa jasho sio njia za mkato
Kujibu ni vizuri kuufuata utaratibu, angalia Dee24 alivyofanyaAliyekutangulia ndy anaweka ladha kwa anayefata kujibu
Alivyofanya Kama Hajui Kusoma
Utotoni nakumbuka michezo ya kibaba baba na kombolelaKusoma na kuandika tulijifunza utotoni
Kombolela imetawala kwenye huu mchezo kina Honestty,bbc,tambala,kaboom wanavuruga msingi wa mwisho ndo mshindiUtotoni nakumbuka michezo ya kibaba baba na kombolela
Mshindi anatakiwa mmoja tu kati yetuKombolela imetawala kwenye huu mchezo kina Honestty,bbc,tambala,kaboom wanavuruga msingi wa mwisho ndo mshindi
Yetu macho kuona alichoandika hapo juu GACHIPAMshindi anatakiwa mmoja tu kati yetu
GACHIPA ndio Nani Katika Huu MchezoYetu macho kuona alichoandika hapo juu GACHIPA
Mchezo wa Netball cyo maarufu tanzaniaGACHIPA ndio Nani Katika Huu Mchezo
Joana ni wa kawaida sana BossTanzania nzima hakuna mtoto mkali kama joanah
Joanah unahitajika huku kuthibitsha hii kauliTanzania nzima hakuna mtoto mkali kama joanah
Kauli Ya KibakuliJoanah unahitajika huku kuthibitsha hii kauli
Kibakuli muigizaji kapotea sana siku hiziKauli Ya Kibakuli
hizi ni rasha rasha tu timbwili la jiwe bado linakujaKibakuli muigizaji kapotea sana siku hizi
Linakuja kwa miaka 5 minginehizi ni rasha rasha tu timbwili la jiwe bado linakuja
Mingine Haitaki niwe mshindi mimiLinakuja kwa miaka 5 mingine
Mimi najua mshindi kupatikana hapa ni mtihaniMingine Haitaki niwe mshindi mimi