Yako binafsi hatuwezi kuhoji...Mawazo hayana budi kuwa mazuri ili ufanikiwe mipango yako
Kuhoji ni lazima hasa kama kitu hukielewiYako binafsi hatuwezi kuhoji...
Hukielewi undani wake japo umekiona !!
Umekiona lakininsio halaliHukielewi undani wake japo umekiona !!
Halali kinadumu Sana kuliko haramu ..
Halali kinadumu Sana kuliko haramu ..
Sasa ndiyo wakati muwafaka wa kusajili...
Kusajili laini za simu kwa kutumia vitambulisho vya Taifa kutaanza lini?Sasa ndiyo wakati muwafaka wa kusajili...
Lini wanaanza kwani?Kusajili laini za simu kwa kutumia vitambulisho vya Taifa kutaanza lini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado ummati mkubwa hawajapata id.kitambolisho stahiki !!
Stahiki na mafao ya wafanyakazi wa NiDA washalipwa kwanza?Bado ummati mkubwa hawajapata id.kitambolisho stahiki !!
Kwanza nikupe heshima na taadhima kushiriki nasi !!Stahiki na mafao ya wafanyakazi wa NiDA washalipwa kwanza?
Nasi kwa pamoja nasema asante mkuuKwanza nikupe heshima na taadhima kushiriki nasi !!
Mkuu umeunga mkono kustawisha Baraza !!Nasi kwa pamoja nasema asante mkuu
Baraza la mawaziri au la wazee?Mkuu umeunga mkono kustawisha Baraza !!
Wazee wetu Masikini baada ya kustaafu hawana mbele Wala nyuma wamebaki maScrepa !!Baraza la mawaziri au la wazee?
Wazee wetu Masikini baada ya kustaafu hawana mbele Wala nyuma wamebaki maScrepa !!
Sana Sana faida zake NI nduchu na hatimae wapata za kujikimu !!Mascrepa ni muhimu sana kwa sisi tusio na fedha hasa haya mascrepa ya magari unapata kwa bei rahisi sana
Sent using Jamii Forums mobile app