Atkinson
JF-Expert Member
- Jan 17, 2018
- 515
- 1,158
Kiukweli jina hilo niliwahi sikia kwa senior wangu kutoka kikosi kimoja magharibi mwa Tanzania
Yangu nitaonyesha kwa vitendo oh, usipoelewa maneno
Yangu nitaonyesha kwa vitendo oh, usipoelewa maneno
Sana amemuaga Juacali anaenda kwenye GengeNoah ya rangi nyeusi ni kali sana
Sent from my iPhone using JamiiForums
Thabiti nathibitisha, ukitaka ku reply uwe unaangalia page ya mwisho usirudishe zilizopita
zilizopita ni ndwele wacha tugange yajayoThabiti nathibitisha, ukitaka ku reply uwe unaangalia page ya mwisho usirudishe zilizopita
Yajayo yanafurahisha piazilizopita ni ndwele wacha tugange yajayo
X kwa namba za "kizungu" tulifundishwa kwamba ni 10Zawad nzuri kwa mademu ni iphone X
Sent from my iPhone using JamiiForums
10 ni miaka atakayotawala john magufuli
Magufuli ndilo jina halisi la ukoo la rais wetu mpendwa10 ni miaka atakayotawala john magufuli
Binadamu gani mwenye roho mbaya kama korosho
Korosho zile ntwara hata wauzaji hawajalipwa mpka wanashindwa peleka watoto mashuleniBinadamu gani mwenye roho mbaya kama korosho
Mashuleni na hasa mwezi huu wa kwanza ku motoKorosho zile ntwara hata wauzaji hawajalipwa mpka wanashindwa peleka watoto mashuleni
Sent using Jamii Forums mobile app