Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,741
kwanini watoto wengi huharibikiwa utotoni?Watoto wengi umpenda mama kuliko baba sijui Kwanin.?
kwanini watoto wengi huharibikiwa utotoni?Watoto wengi umpenda mama kuliko baba sijui Kwanin.?
Utotoni? Hata uzeeni wanaharibikakwanini watoto wengi huharibikiwa utotoni?
Wanaharibika kwa sababu msingi wao ni utotoni, ndiyo maana wanasema samaki mkunje angali mbichiUtotoni? Hata uzeeni wanaharibika
Mbichi ukimkunja anarudi ananyooka tena. Bora kumkunja akiwa mkavuWanaharibika kwa sababu msingi wao ni utotoni, ndiyo maana wanasema samaki mkunje angali mbichi
Mkavu badala ya kujikunja anavunjika.Mbichi ukimkunja anarudi ananyooka tena. Bora kumkunja akiwa mkavu
Sent using Jamii Forums mobile app
Anavunjika kwa sababu hii nchi kuna jotoMkavu badala ya kujikunja anavunjika.
Mgonjwa anayehitaji ushauri wa daktari bingwaJoto likipanda sana zaidi ya 37centigrade wewe ni mgonjwa
Sana sana akiwa anapigana John Cena mbavu nenemieleka ni mchezo mbaya sana
lemutuz le akili kubwazNene kama lemutuz
Kubwaz jingaz shati lake unafunika vitz au passolemutuz le akili kubwaz
vile watu wako kimya ujue hawajuiUnaipenda unaitaka pia, hili goma kaimba nani vile
Hawajui kwamba uzi huu bado unaendeleavile watu wako kimya ujue hawajui