Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,697
- 15,382
Katika watu wote, wewe unaongozaHuku kunavyuma hvyo hakuwezi katika
Katika watu wote, wewe unaongozaHuku kunavyuma hvyo hakuwezi katika
Unaongoza kwenye kila masomoKatika watu wote, wewe unaongoza
Masomo ya leo ni magumuUnaongoza kwenye kila masomo
Magumu kama chuma cha puaMasomo ya leo ni magumu
Pua yake imeumizwaMagumu kama chuma cha pua
Unaongoza vp watu wasiotaka kuongozwa na vijanaKatika watu wote, wewe unaongoza
Vijana wa mwanza mlituangusha sana mbele ya rais mama yetu yani hamkuwa hata na ajenda ya msingi kweliUnaongoza vp watu wasiotaka kuongozwa na vijana
Kweli tuliwaangusha, ila tatzo lipo kwa sisi vijana wenyewe tumeshindwa kujenga umoja wa kujadili yanayotupasa kama vjana ila tupo bize na mambo yasiyina manufaa yeyoteVijana wa mwanza mlituangusha sana mbele ya rais mama yetu yani hamkuwa hata na ajenda ya msingi kweli
Yeyote yule ange simama kazi iendeleKweli tuliwaangusha, ila tatzo lipo kwa sisi vijana wenyewe tumeshindwa kujenga umoja wa kujadili yanayotupasa kama vjana ila tupo bize na mambo yasiyina manufaa yeyote
Iendelee vp pasipo mshikamano..?Yeyote yule ange simama kazi iendele
Mshikamano Kwa sisi watu weusi ni mgumu sanaIendelee vp pasipo mshikamano..?
Sana sana ni kuendekeza ujingaMshikamano Kwa sisi watu weusi ni mgumu sana
Nalog off
Ujinga ni umaskiniSana sana ni kuendekeza ujinga
Umaskini ni kuupinga kwa nguvu zoteUjinga ni umaskini
zote hizo ni mbinu za kuepuka utegemezi.Umaskini ni kuupinga kwa nguvu zote
Utegemezi kwa mtu mwenye nguvu zake haupendezizote hizo ni mbinu za kuepuka utegemezi.
Haupendezi ukivaa kama mcheza ngoma
Ngoma za asili zinasahaulika siku hizi.Haupendezi ukivaa kama mcheza ngoma
Hizo ni habari njemaNgoma za asili zinasahaulika siku hizi.
Habari Njema ni kuwa Simba Sports Club inachukua ubingwa msimu huuHizo ni habari njema