Huyu Mimi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2019
- 2,573
- 2,091
Mtihani mgumu kma wa AnatomyMimi najua mshindi kupatikana hapa ni mtihani
Mtihani mgumu kma wa AnatomyMimi najua mshindi kupatikana hapa ni mtihani
Anatomy ndio yule ana makinda?Mtihani mgumu kma wa Anatomy
Makinda ya Njiwa ?Anatomy ndio yule ana makinda?
Njiwa peleke salam kwa yule nimpendae mwambie mm bila yeye maisha ni magumu
Humjui kwa sababu hujapenda kumjuaUnafaodi vipi wakati hata sura humjui
Kumjua Namjua KirohoHumjui kwa sababu hujapenda kumjua
Kiroho safi tu tunakulaga hii hainaga ushemejiKumjua Namjua Kiroho
Ushemeji upo haliwi mtu apaKiroho safi tu tunakulaga hii hainaga ushemeji
Apa ataliwa tu, masela zamu ya nani leoUshemeji upo haliwi mtu apa
Leo si zamu ya ManFongo ao nanii, Leo ni Darassa akishirikiana na JuxApa ataliwa tu, masela zamu ya nani leo
Vinasaba vya damu !!Jux ameachana na mpenz wake, vanessa
damu yenye virusi vya ukimwi sio nzuri kwa afya ya mgonjwaVinasaba vya damu !!
damu yenye virusi vya ukimwi sio nzuri kwa afya ya mgonjwa
maisha yana thamani sana hasa ya mpendwa wakoMgonjwa asipopata matibabu atapoteza maisha
Wako unayemthamini kuliko mengine wotemaisha yana thamani sana hasa ya mpendwa wako
wote hawapo, tumebaki wenyewe, tunaweza kuiujumu hii threadWako unayemthamini kuliko mengine wote