Wa MEXICAN hepu tujuzeni hapa...

Wa MEXICAN hepu tujuzeni hapa...

Wilbert1974

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
1,632
Reaction score
481
Mexico.jpg
Hebu watu wa Mexico mtujuze hili linamaanisha nini kwenu?!
 
Jesus kwao ni jina la mtu/binadamu....when someone tells you Jesus loves you, donesn't mean the Holy Christ we all Know about. It could be a love from a man to a man
 
Mpaka makanisa yameruhusu hao wa jinsia moja kuoana, sioni ajabu ikiwa wanayatenda hayo kwa jina la Yesu. Huo ndio Ukristo. Kuwadharaulisha mitume kupita kiasi.

Anaebisha aeleze wanapofungishwa ndoa kanisani huwa ni kwa jina la nani?
 
Back
Top Bottom