Wa mama mijengo sometimes muwe na huruma

Wa mama mijengo sometimes muwe na huruma

😅😅😅 kashindwa hata ka wewe watoto wa nyumba wa na roll ungejisikiaje

Omba tu yasikukute ila ndo hua hivo😅😅
Si wanawake mnasema mnaweza sasa aweze kulea mwanae si.kamzaa yeye mwenyewe.
 
Kuna baba nilikua nae, ni mume wa mtu, alikia ananihudumia kwa kila kitu, Mwaka jana aliniambia nimzalie, mimi nikamwambia kama unataka mtoto na mimi basi aninunulie kiwanja na kunijengea. Kweli alifanya hivyo ila wakati nakaribia alisimamishwa kazi mambo yakawa magumu kwani alikua na kesi.

Alitoka lakini alikua hana pesa tena kama mwanzo, ujenzi nyumba ilisimama kwenye lenta, akakata mawasiliano na mimi nimehangaika mpaka kumpeleka ustawi wa jamii.

Kule akasema yeye hawezi nihudumia kwa kuwa hana kazi, kweli alionyesha barua ya kufukuzwa kazi. Lakini anamaisha mazuri mke wake ana Biashara nyingi tu, ana maduka na ni mfanyakazi wa kampuni moja kubwa tu.

Watoto wake wanaishi vizuri tu ila wakwangu ana miezi mitatu ila hajawai mnunulia hata pampasi. Nawaza hivi naweza kumpeleka mke wake ustawi wa jamii ili amhudumie mtoto wa mume wake. Nilishampigia huyo mama ili kumuomba matumizi lakini aliishia kunitukana, nafanyaje kwani hata biashara ni mwanaume wetu ndo alimfungulia.

copied but ni real life story
Utanyooka
 
Unakubalije kuzaa na mume wa mtu?
Au ndio nyie wa kuleta 15M kama bill ya mtoto kwa mwezi?
 
Hiyo hali uliyonayo Mungu ameileta kwa makusudi, sasa unataka huyo mke apingane na Mungu? Lia na mola wako akunasue

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Yani we uniibie mume..mpatane kuzalishana huko...
Mimi niko napambana kusaka pesa na utajiri..halafu uje uutolee macho...
Pambana na huyo bwana aliyekukojoleesha
Siku ingine mtumiege akili...eti nizalie nawwe unazaa huku hakuna mkataba wowote....
Pole weeeeee..fanya kazi dadaa
Wkt mume anakuhonga hukutumia hela kujiendeleza maendeleo..uliona raha
Mke wandoa kachangamka we umezubaa

Wanaume bana mchepuko km huu ss wa nin
 
Kuna baba nilikua nae, ni mume wa mtu, alikia ananihudumia kwa kila kitu, Mwaka jana aliniambia nimzalie, mimi nikamwambia kama unataka mtoto na mimi basi aninunulie kiwanja na kunijengea. Kweli alifanya hivyo ila wakati nakaribia alisimamishwa kazi mambo yakawa magumu kwani alikua na kesi.

Alitoka lakini alikua hana pesa tena kama mwanzo, ujenzi nyumba ilisimama kwenye lenta, akakata mawasiliano na mimi nimehangaika mpaka kumpeleka ustawi wa jamii.

Kule akasema yeye hawezi nihudumia kwa kuwa hana kazi, kweli alionyesha barua ya kufukuzwa kazi. Lakini anamaisha mazuri mke wake ana Biashara nyingi tu, ana maduka na ni mfanyakazi wa kampuni moja kubwa tu.

Watoto wake wanaishi vizuri tu ila wakwangu ana miezi mitatu ila hajawai mnunulia hata pampasi. Nawaza hivi naweza kumpeleka mke wake ustawi wa jamii ili amhudumie mtoto wa mume wake. Nilishampigia huyo mama ili kumuomba matumizi lakini aliishia kunitukana, nafanyaje kwani hata biashara ni mwanaume wetu ndo alimfungulia.

copied but ni real life story
Pole sana.Ila kuna watu wamejifunza kupitia makosa yako
 
Malipo ya kuiba mume wa mtu ndio hayo ulidhani mjanja sasa umepatikana
Hatariii

Ukiua Kwa panga utakufa Kwa upanga.

Malipo ni hapahapa duniani.

Maisha ni mzunguko

Maana Dunia ni duara
 
Huyo mwanamke ni wale wale tu Yaani badala nae ajitutumue afanye kazi amalizie hata kidogo kidogo
Kuna wamama wengine ni mzigo sijui niwaite matahira
Yaani wanaona wa kufanya kazi ni wanaume tu wao ni kama miti inayosubiri maji
 
Back
Top Bottom